Mo endelea kuiga iga bidhaa za watu

Kampuni tanzu ya METL Group inayotengeneza sabuni ya unga ya Mo Cleansoft imeshindwa katika shauri lililofunguliwa na Keds Tanzania Co. Ltd kwa kutengeneza na sabuni zinazoshabihiana na bidhaa yake ya Kleesoft. Tume ya ushindani (FCC) imesema METL imeiga jina na kuleta mfanano.

Source: Swahili times
Afu anasahau ku copy na ubora bidhaa,maana hyo sabuni yake ya hovyo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh kweli pata matatizo ujue rafiki wa kweli.

Kule kwenye page yake Mo instagram mngekuwa badala ya kumsifu kila jambo mngemchana live kama hapa ninadhani angejirekebisha.

Pia kama ana watu wake wanasoma hapa wampelelee ujumbe pamoja na utajiri wa kurithi awe mbunifu wa kuanzisha au kubotesha bidhaa au huduma sio ku copy kwa kina bahresa.

Ukiwa mbunifu kama team ya bahresa pamoja na kutengeneza pesa pia unatatua matatizo mengi katika jamii.

Chukulia mfano mdogo kabla ya boti za kisasa za bahresa Znz ilikuwa unajofikiria kwenda kupanda mameli yenye magudoro yenye kunguni. Pia kabla baharesa masikini kunywa maji safi ya kiwandani ni issue.

Kinachotakiwa ata akikopi aboreshe mpaka watu waone tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bakhresa ni Sunni ndiyo maana sadaka zake mnaziona maana Sunni Waswahili ni wengi. Mo yeye Shia anatoa kwa Shia wenzie huko Upanga. Uswahilini Shia wa kuhesabu
Usisahau kua shia wana kitu kinaitwa KHUMS, ambayo ni faida ya biashara na vitegauchumi kwa mwaka. Jamaa anajua ni kiasi gani Mo analipa kila mwaka? Pia kutoa sadaka kwa kupanga watu hadharani sio utaratibu wa kidini na hilo shia karibu wote wanalizingatia. Hapa tanzania matajiri waislamu wa kihindi zaidi ya 80% ni shia, je kuna ambae anatoaga sadaka na misaada mingine hadharani kama Bakhressa anavyofanya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sadaka kwa Mujibu wa Uislam haiangalii Dini, Kabila wala jinsia

Sadaka anapewa kila mwenye uhitaji

Ukianza kutoa Sadaka kwa ubaguzi kwa Mujibu wa Uislam tafuta jina lingine ila usiite Sadaka kwa mujibu wa Sheria na taratibu A Swadaqah

Tukirudi kwenye mada: hata Nembo ya sasa ya MO katohoa style ya nembo ya Azam

Kashindwa kuingiza Boti z usafirishaji kuhofia kilichomkuta Scandinavia ambae alitahadharishwa akapuuza
Sadaka kwa mujibu wa uislamu ili kulinda utu na heshima ya anaepewa sadaka inatolewa kwa wahitaji kwa siri baina ya mtoaji na mpewaji. Ukisha panga watu hadharani/barabarani na kuwagawia pesa hio sio sadaka kwa mujibu wa uislamu, unatakiwa uitafutie jina lingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unaweza kuuza business idea kwa kampuni kibongo bongo na wakakulipa? Kichwa change kina vitu vingi sema nashindwa kuvisimamia,kwa akili ya muda na kukosa watu wenye commitment
 
mo simba
Mohammed Dewji hata jina la "MO" ka-copy kwa MO Ibrahim,kwani kabla MO Ibrahim hakujikita sana kujiita MO Dewji ! Sema Wabongo wengi ni Bongolala hawana kumbukumbu kihivyo!

Baada ya kuona neno MO lina- sound vizuri kama "more" basi kila kitu kinacho- trend au ku-peak basi tegemea Mohammed Dewji ataki-copy kwa kuanza na MO!

Mo Chalk, Mo Chupi, Mo Fire ,Mo breath n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maji ya Mkwawa mmiliki ni nani?
Kiwanda kipo Iringa yaani hadi chupa wameiga, sijui mmiliki ni nani.
1577702015409.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom