😂😂😂😂Anaiga kila anachofanya Bakhresa kasoro kwenye kutoa Sadaka kwa wenye matatizo
Kuna mo ukwaju?Niliwai ongelea ili swala la uyu jamaa mfano wa Azam ukwaju na Mo ukwaju sasa uncle bakhresa hajaamua fanya ivyo maana akisema aingie kwenye hii vita basi Mo atalambwa pesa mingi
Sent from my iPhone using JamiiForums
mbona umepanic sana mkuu!! Au wewe ni shabiki wa mbumbu fc?
🤣🤣🤣🤣🤣 hii inaonesha elimu haikumsaidia ama hakupata elimu ya ubunifu.Sasa yule alipaswa kuonyesha utofauti.... Alikwenda kusoma USA ili aje kufanya hayo ma-copy and paste?
Hahahah wabongo wengi si wathubutu. Wanangojeaga mtu afanye kitu kikiwa successful wanaamua kushindana nae kwa kumuiga typically.Wabongo ndo tabia zao. Kuna mahari nilifungua kiduka cha m.pasa maeneo ya tegeta A. Biashara ikawa inaenda fresh tu. Baada ya mda nilipopanga frem nikapewa notis nikapata. Frem nyumba ya pili. Cha kushangaza zikaibuka m.pesa kama 4 na Mimi wa 5.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo 2B USD amerithi?Mo tapeli
Halafu Mo sio tajiri, bali ni msimamizi wa Mirathi
Tajiri Alikuwa Mengi na Baharesa
mambo ya samsung na singsung
Swala sio elimu anatakiwa afukuze team yake yote ya ubunifu atafute wengine.🤣🤣🤣🤣🤣 hii inaonesha elimu haikumsaidia ama hakupata elimu ya ubunifu.
Hivi hili jambo linawahusu hawa jamaa tu au hadi kwenye taasisi nyingine.
Mfano.. kwenye benk
Kampuni za simu
Kampuni za bima.
Kampuni za uzalishaji nondo,bati,misumali n.k
Mifano ni mingi.
You own the formula not the product..
Jaribu kulinganisha bidhaa na huduma zao, kama case ni kuigana basi hawa jamaa kesi zingekuwa nyingi.
Si dhani kama Bakharesa angekaa kimya kama kungekuwa na hizo shida sisi walaji tunaotaka kuzianzisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Exacly🤣🤣🤣🤣🤣 hii inaonesha elimu haikumsaidia ama hakupata elimu ya ubunifu.
Hahahah its obvious. Creative team hamna kitu.S
Swala sio elimu anatakiwa afukuze team yake yote ya ubunifu atafute wengine.
Huna unalolijua kwenye sheria ya hatimiliki
Labda kama ndio kawaweka ndugu zake wahindi na badala kuwaajili watu professional na ndio maana tunaona vituko kama hivi.Hahahah its obvious. Creative team hamna kitu.
Wewe ndio unayechanganya mambo! Kuna kuiga huduma kama kwenye sekta ya bima, mawasiliano, na ma bank! Hiyo haina shida kwenye biashara kwani huibi haki ya mtu, kwani mpesa, ni tofauti na tigo pesa, huwezi lalamika, sasa huyu mo yeye anaenda mbalii zaidi hadi kwenye majina, na kuweka utofauti mdogo sana, na kufananisha hata vifungashio!! Mfano hiyo sabuni ya kleesoft yeye akaleta yake cleansoft!! Huo si uhuni? Ndio maana ameamliwa hiyo bidhaa iharibiwe!! Kwenye matangazo mfano ya radio mteja ataweza kutofautisha kati ya kleesoft na cleansoft? Huko kwingine mfano azam energy, naye mo energy, haina shida kwani ni majina mawili tofauti, na ndio maana hata bakhresa aliwashinda coca cola kipindi kile anaanzisha kinywaji chake cha azam cola kwani walitaka azuiwe kutumia neno COLA!!!Hivi hili jambo linawahusu hawa jamaa tu au hadi kwenye taasisi nyingine.
Mfano.. kwenye benk
Kampuni za simu
Kampuni za bima.
Kampuni za uzalishaji nondo,bati,misumali n.k
Mifano ni mingi.
You own the formula not the product..
Jaribu kulinganisha bidhaa na huduma zao, kama case ni kuigana basi hawa jamaa kesi zingekuwa nyingi.
Si dhani kama Bakharesa angekaa kimya kama kungekuwa na hizo shida sisi walaji tunaotaka kuzianzisha.
Sent using Jamii Forums mobile app