Mo endelea kuiga iga bidhaa za watu

Mo endelea kuiga iga bidhaa za watu

Wao watakwambia kama wewe halijakutoa sisi tutakuamini vipi?
Hivi unaweza kuuza business idea kwa kampuni kibongo bongo na wakakulipa? Kichwa change kina vitu vingi sema nashindwa kuvisimamia,kwa akili ya muda na kukosa watu wenye commitment

dodge
 
Baba yao hajafa,vipi anakuwa msmamizi wa mirathi? Ila kweli anazingua azam embe/mo embe.azam ukwaju/mo ukwaju.azam eneg/mo eneg .azam + /mo +

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama baba akiwa mzee, huwa anachagua mtoto wake mmoja ambaye anaweza simamia kazi zake/biashara
Na kwa Mo ni hivyo na ni mara nyingi inakuwa hivyo
 
Back
Top Bottom