Mo endelea kuiga iga bidhaa za watu

Mo endelea kuiga iga bidhaa za watu

Hivi hili jambo linawahusu hawa jamaa tu au hadi kwenye taasisi nyingine.

Mfano.. kwenye benk

Kampuni za simu

Kampuni za bima.

Kampuni za uzalishaji nondo,bati,misumali n.k
Mifano ni mingi.

You own the formula not the product..

Jaribu kulinganisha bidhaa na huduma zao, kama case ni kuigana basi hawa jamaa kesi zingekuwa nyingi.

Si dhani kama Bakharesa angekaa kimya kama kungekuwa na hizo shida sisi walaji tunaotaka kuzianzisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mo muhindi original
Yani ukienda kwa Mo wafanyakazi wanadegree zao wanalipwa 300k mpk 200k ila kwa BAKHRESA Sasa dereva tu analipwa 600k na hapa ndo utofauti ulipo asee , Mo utajiri wake ni wa kibahiri sana asee na kinyonyaji Management na Marketing Team hana atabaki kukopy sana tu


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kampuni tanzu ya METL Group inayotengeneza sabuni ya unga ya Mo Cleansoft imeshindwa katika shauri lililofunguliwa na Keds Tanzania Co. Ltd kwa kutengeneza na sabuni zinazoshabihiana na bidhaa yake ya Kleesoft. Tume ya ushindani (FCC) imesema METL imeiga jina na kuleta mfanano.

Source: Swahili times
I never see this guy as smart anyway....
It's about time and chicken will soon come back home to roost
 
Nadhani wanamwonea tu...
Hakuna ambaye aja copy bhana..

Hizo sabuni za unga hio kampuni ni ya kwanza kugundua...?Watu wana copy mpaka majina wanabadilisha herufi moja tu.Ndo nashangaa kitu kidoogo nongwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tofauti Kati ya kleesoft na cleansoft. Hamna kesi hapo

Sent using Jamii Forums mobile app

Hamna kesi wakatiTajiri yako ameangukia pua kwenye hukumu ya hiyo kesi kwa huo ujinga wake anao ufanya wa kuiga kuzalisha bidhaa za wenzake!

Kwa ufupi tu amepigwa marufuku kusambaza hizo cleansoft zake!
maana zinatambulika kama bidhaa feki, na popote pale zitakapo onekana zinatakiwa zikamatwe na kuchomwa moto.
 
Back
Top Bottom