Mo endelea kuiga iga bidhaa za watu

Mo endelea kuiga iga bidhaa za watu

Zaid ya Mara 10

Unakuaje Mzee wa Mjini wa age yangu halafu usile Fedha ya Said?

Tumeanza kupiga vizinga 1980 kwenye Mgahawa wake wa Mtaa Pemba alipoanz kupaa kimafanikio
Mo siyo mnafiki kwa kijionyeshaonyesha hadharani kwa kutoa sadKa asifiwe. Siyo yule mtu anavizia umati nakutandika mkeka kuswali mbele ya kadamnasi asifiwe mtakatifu.
 
Yani ukienda kwa Mo wafanyakazi wanadegree zao wanalipwa 300k mpk 200k ila kwa BAKHRESA Sasa dereva tu analipwa 600k na hapa ndo utofauti ulipo asee , Mo utajiri wake ni wa kibahiri sana asee na kinyonyaji Management na Marketing Team hana atabaki kukopy sana tu

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hii ni kweli kuna jamaa angu mmoja hivi nilimaliza naye chuo few years ago mechanical engineer alikuwa analipwa 300k per month, jamaa alifanya kazi miezi6 tu akapiga chini, huyu Mo in mbabaishaji kinoma bidhaa zenyewe hazina quality basis tu anaunga unga,
 
Bakhresa ni Sunni ndiyo maana sadaka zake mnaziona maana Sunni Waswahili ni wengi. Mo yeye Shia anatoa kwa Shia wenzie huko Upanga. Uswahilini Shia wa kuhesabu
MAANA YA WASWAHILI
1.MASIKINI
2.WAISLAM
3.WAKAZI WA PWANI.

SO AKITOA LAZIMA AONEKANE MAANA ANATOA KWA KUNDI KUBWA LA WATU KWA WAKATI MMOJA
 
MAANA YA WASWAHILI
1.MASIKINI
2.WAISLAM
3.WAKAZI WA PWANI.

SO AKITOA LAZIMA AONEKANE MAANA ANATOA KWA KUNDI KUBWA LA WATU KWA WAKATI MMOJA
Waswahili ni watu wa pwani. Watu wa mwanzo kabisa kuwa na mahusiano na wageni waliokuja pwani ya EA wakachanganya damu na kuzaliwa watu na tamaduni za Uswahili.

Waswahili wengi ni Waislam japo siyo wote.
 
Karibu kila bidhaa anayotengeneza Bakheresa,zote mo ameiga. Lakini nilichogundua huyu mzee Bakhresa ni mstaarabu sana. Yeye anaendelea kuanzisha vitu tu,amewaacha wanaocopy waendelee na copy zao. Hotel ya zanzibar ndio utajua Bakhresa ni nani,watu wanajua kuwekeza. Hapo hapo waje eti mo tajiri kumzidi Bakhresa...! Bakheresa kamzidi mo kuanzia akili,ubunifu,uwezo wa ufikiri mpaka utajiri. (Karibuni simba,kwa povu la mo sabuni)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna viberiti vya mo gani nje mvua ikinyesha ule unyevu wa Dar unasababisha njiti kupata unyevu ndo kiberiti kimeharibika.Mi nikienda Dukani akinipa kiberiti cha mo naangalia hali ya hewa kwanza kama inalipa la sivyo sinunui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tofauti Kati ya kleesoft na cleansoft. Hamna kesi hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20191228-112847.jpeg
Screenshot_20191228-112924.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu kila bidhaa anayotengeneza Bakheresa,zote mo ameiga. Lakini nilichogundua huyu mzee Bakhresa ni mstaarabu sana. Yeye anaendelea kuanzisha vitu tu,amewaacha wanaocopy waendelee na copy zao. Hotel ya zanzibar ndio utajua Bakhresa ni nani,watu wanajua kuwekeza. Hapo hapo waje eti mo tajiri kumzidi Bakhresa...! Bakheresa kamzidi mo kuanzia akili,ubunifu,uwezo wa ufikiri mpaka utajiri. (Karibuni simba,kwa povu la mo sabuni)

Sent using Jamii Forums mobile app
Najivunia kushiriki kujenga hotel hii, ni project yangu kubwa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kampuni tanzu ya METL Group inayotengeneza sabuni ya unga ya Mo Cleansoft imeshindwa katika shauri lililofunguliwa na Keds Tanzania Co. Ltd kwa kutengeneza na sabuni zinazoshabihiana na bidhaa yake ya Kleesoft. Tume ya ushindani (FCC) imesema METL imeiga jina na kuleta mfanano.

Source: Swahili times
Jamani pambaneni na hali zenu za kimasikini ya mo na saidi tuwaachie wenyewe,acheni kuingilia mambo ya watu waliofanikiwa kimaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najivunia kushiriki kujenga hotel hii, ni project yangu kubwa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
I see ule mhotel ule. Huyu jamaa ana hela,sio ya kitoto. Amekuja kuua ile michezo baharini. I see pale panatamanisha maisha yako yote uishi pale,unaweza kuongeza hata siku za kuishi. Mo akasome kwa Bakhresa,mo misharahara analipa kama ninavyolipa mimi. Wafanyakazi wake kutwa wanalalamikia kazi ngumu,sabuniza sumu,ujira kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani ukienda kwa Mo wafanyakazi wanadegree zao wanalipwa 300k mpk 200k ila kwa BAKHRESA Sasa dereva tu analipwa 600k na hapa ndo utofauti ulipo asee , Mo utajiri wake ni wa kibahiri sana asee na kinyonyaji Management na Marketing Team hana atabaki kukopy sana tu

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nil
iwahi tembelea kiwanda chake vingunguti, mazingira ya wafanyakazi si rafiki, hawana safety goggles, wanatembea na mayebo yebo wafanyakazi ndani ya kiwanda. Wakina mama na mavilemba kichwani ndio wanaoperate mashine, bila kuwaza hatari inayo wakabili. Watu ni wengi wanapishana pishana ndani ya kiwanda. Hakuna utaratibu. Joto ni Kali mno. Hakuna ventilation ya kutosha.sijui Hawa wanaojiita OSHA mpo wapi? Hebu tembeleeni viwanda vya mo
 
Back
Top Bottom