Mo Electro

Mo Electro

ASHA NGEDELE

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
784
Reaction score
327
Habari wadau,

Nimepita duka la Mo Electro pale Dar mjini karibu na Clock tower nikavutiwa na bei za mafriji yao.

Je kuna mwenye experience nazo mana yasije nikuta ya "cheap is expensive".

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafridge yote ni sawa tuuu. Ni kwamba kila mtu anaweka brand yake. Ila ndo hayohayo chines

Vrou van samaria give me bit of water to drink
 
Kweli wengi wanatengezea China but quality huwa tofauti so sina uhakika na hizi fridge zao kama zinasumbua ingawa wanatoa warranty. Sina uhakika na Cookers zao coz wanatengezea Turkey

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm nadhani ni nzuri tuuu. Inatakiwa tununue kwa uwezo wetu wa pesa.
Kweli wengi wanatengezea China but quality huwa tofauti so sina uhakika na hizi fridge zao kama zinasumbua ingawa wanatoa warranty. Sina uhakika na Cookers zao coz wanatengezea Turkey

Sent using Jamii Forums mobile app

Vrou van samaria give me bit of water to drink
 
Mo ni Agent wa LG kwa hapa Tanzania. Kuna ufanano mkubwa kati ya LG brands, na hizi Mo electro.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli yeye ni agent lakini hakuna uhusiano na product zake coz hizi anatengezesha China na kuweka brand yake wakati LG wanatengeza wenyewe na kumtumia MO kama dealer wao kwenye mauzo yao

Well said mkuu,

Kama una uwezo wa ku afford LG fridge ni vyema ukanunua haya, sio mtaalamu sana wa mafridge ila nafahamu kuna jamaa zangu wamenunua LG fridge toka kwa mo yapo vizuri miaka mingi tu.

Huwa siku zote siamini vitu vya ku rebrand maana vingi hutengenezwa vichochoroni tu.
 
izo friji amna kitu, za kichina, baada ya mwaka mara mlango haufungi mara blahblah. rahisi aghali , jichange uchukue ya LG au samsung
 
Well said mkuu,

Kama una uwezo wa ku afford LG fridge ni vyema ukanunua haya, sio mtaalamu sana wa mafridge ila nafahamu kuna jamaa zangu wamenunua LG fridge toka kwa mo yapo vizuri miaka mingi tu.

Huwa siku zote siamini vitu vya ku rebrand maana vingi hutengenezwa vichochoroni tu.
Sawa asante mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kabla hujanunua hakikisha ni frost free / au no frost.
haligandishi barafu kwenye kuta..
 
Back
Top Bottom