Mo Dewji Tajiri namba 1 Afrika mashariki 2022

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,337
Mfanya biashara kutoka Nchini Tanzania Mohammed Gulam Dewji ndiye Tajiri namba moja Afrika mashariki.

Utajiri wake umetajwa kufikia Us dollar bilioni moja nukta tano taa $1.5B Mohammed Dewji ndiye mmliki wa kampuni ya MeTL group yaani Mohammed Enterprises Tanzania Limited.

Forbes walitoa Orodha ya Matajiri wakubwa Afrika na kumtaja Mo Dewji ndiye Tajiri namba 15 Afrika ambaye ni mtu pekee kutoka Afrika mashariki kuwekwa kwenye Orodha hiyo ya Mwanzo hivyo kwakuwa ndiye Tajiri namba 15 Afrika aliye ingia kutoka Afrika mashariki hivyo amebaki kuwa tajiri wa kwanza Afrika mashariki na Tanzania pia.

Mohammed Dewji wa Tanzania, ambaye utajiri wake ulipungua hadi wastani wa dola bilioni 1.5 kutoka dola bilioni 1.6 mwaka mmoja uliopita.
 
Hizi ni promo tu, matajiri wapo na wanajulikana ndio maana hawashindi kwenye media.
Bado una nadharia mbaya mkuu kushinda mitandao unazani ndio kigezo cha kutokuwa tajiri?

Matajiri wengi wanashinda mitandaoni sababu ndio moja ya sehemu inayo wafanya waendelee kuwa matajiri na huko ndiko wanatangaza biashara zao.
 
Hivi utajiri wa Mo mbona siuelewi?
Mbona kama utajiri wa mchongo?

Juzi niliona ule mji wa nyumba za Bakhresa ,
Fumba unguja.

Hakika bakresa ndy tajiri no 1 Tanzania..
Mo Dewji mpunga upo japo na SSB mpunga anao pia
 
Back
Top Bottom