johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,611
- 142,933
Mo amesema kampuni yake imeajiri Wafanyakazi 34,800 na inashika nafasi ya pili kwa kuajiri Wafanyakazi wengi sana Baada ya Serikali
Mo ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter!
Amechokonolewa sehemu...Ameshindwa nini kuwa mwekezaji Mkubwa wa Bandari, na sizungumzii kuwa na share DPWNi kweli, wala hatukatai au kupinga, hakika ni jambo jema sana kwa taifa letu kutoa ajira kiasi hicho.
Ila, kitu ambacho sijaelewa, swali lililopo kichwani kwangu;
Mantiki ya yeye kutoa "STATEMENT HIO" ni nini...? Kutukumbusha...? Kututisha...? Kutujuza...? Kutufahamisha...? Kujisifia na Kujifaharisha...?
Ni kweli, wala hatukatai au kupinga, hakika ni jambo jema sana kwa taifa letu kutoa ajira kiasi hicho.
Ila, kitu ambacho sijaelewa, swali lililopo kichwani kwangu;
Mantiki ya yeye kutoa "STATEMENT HIO" ni nini...? Kutukumbusha...? Kututisha...? Kutujuza...? Kutufahamisha...? Kujisifia na Kujifaharisha...?
Uko sahihi kabisa! Nliwahi kufanya survey kwenye viwanda vya METL, 70% ya anaoita Waajiriwa ni Vibarua wasio na mikataba wala mafao. Ni wale wa njoo leo, kesho usijeBajeti yake ya Malipo kwa Wafanyakazi wake kwa mwezi ni Kiasi gani? Payroll yake inazidi Dola Millioni 2? Tuanzieni hapo
Je mishahara anayowalipa i natisheleza Familia ya Mfanyakazi kujikimu? Je kuna benefits zingine kama Bima ya Afya, changio kwenye NSSF n.k
Kwani kusema kuwa kuajiri wafanyakazi 34,000 haitoshi yawezekana 31,000 ni makuli tu na wanalipwa chini ya Viwango vya kujikimu.
Jamaa ni mjivuni sana. Amesahau hivyo viwanda na mashamba anayo jivunia, aliyejenga na kuanzisha ni Nyerere!Ni kweli, wala hatukatai au kupinga, hakika ni jambo jema sana kwa taifa letu kutoa ajira kiasi hicho...
Kwenye uchumi inaitwa casual employment..ni ajiraUko sahihi kabisa! Nliwahi kufanya survey kwenye viwanda vya METL, 70% ya anaoita Waajiriwa ni Vibarua wasio na mikataba wala mafao. Ni wale wa njoo leo, kesho usije
Kwa nini hakupewa mapalala au cheyo hivyo viwanda!?Jamaa ni mjivuni sana. Amesahau hivyo viwanda na mashamba anayo jivunia, aliyejenga na kuanzisha ni Nyerere!
Halafu alichokifanya yeye ni kwenda tu kukopa benki hela za kuboreshea, huku akitumia hayo mashamba ya mkonge na viwanda vyetu kama dhamana ya mkopo baada ya familia yake kubinafsishiwa hizo mali kwa njia za giza.
True!Mkurugenzi Mtendaji wa Mohamed Enterprise Tanzania Ltd Mo Dewji amesema yeye ndio Mwekezaji makini mwenye matunda kwenye Uchumi....
Acha wivu, yeye si mtanzania? Kwanini wengine hawakwenda kukopa na kuviendeleza? Acheni kunyanyasa watanzania wenzenuJamaa ni mjivuni sana. Amesahau hivyo viwanda na mashamba anayo jivunia, aliyejenga na kuanzisha ni Nyerere!
Halafu alichokifanya yeye ni kwenda tu kukopa benki hela za kuboreshea, huku akitumia hayo mashamba ya mkonge na viwanda vyetu kama dhamana ya mkopo baada ya familia yake kubinafsishiwa hizo mali kwa njia za giza.
Serikali ipo wapi kulinda haki za hao waajiriwa? Si tuna wizara kabisa mahususi kwaajili ya kazi?Uko sahihi kabisa! Nliwahi kufanya survey kwenye viwanda vya METL, 70% ya anaoita Waajiriwa ni Vibarua wasio na mikataba wala mafao. Ni wale wa njoo leo, kesho usije
Mhindi na Mbantu, wapi na wapi!!Acha wivu, yeye si mtanzania? Kwanini wengine hawakwenda kukopa na kuviendeleza? Acheni kunyanyasa watanzania wenzenu
Angalau yeye kawekeza hapa, si angepeleka India basi?Mhindi na Mbantu, wapi na wapi!!