Mo Dewji: Mimi ni Mwekezaji makini, Kampuni yangu ya Metl imeajiri Wafanyakazi 34,800 Sisi ni Waajiri Wakubwa wa pili Baada ya Serikali!

Bajeti yake ya Malipo kwa Wafanyakazi wake kwa mwezi ni Kiasi gani? Payroll yake inazidi Dola Millioni 2? Tuanzieni hapo
Je mishahara anayowalipa i natisheleza Familia ya Mfanyakazi kujikimu? Je kuna benefits zingine kama Bima ya Afya, changio kwenye NSSF n.k

Kwani kusema kuwa kuajiri wafanyakazi 34,000 haitoshi yawezekana 31,000 ni makuli tu na wanalipwa chini ya Viwango vya kujikimu.
Mshahara ni calculated base kwa ajili ya mwajiriwa tu na Sio kwa ajili ya familia yake
 
Bakhresa sijui nae asemaje!!

Angalia ajira za Bakhresa kuanzia viwanda vyake vyote,nenda kwenye boti zake 8 za Dar Zanzibar.

Mfano biashara ya ICE CREAM tu kwa Tanzania nzima centres zake na wale vijana wanaouza kwa vibegi na vitoroli. Nenda kwenye Azam tv KUANZIA watangazaji, mafundi madishi timu za mpira ambazo zinalipwa fedha za udhamini.

Mo anapenda kujirace sana!!
 
Back
Top Bottom