Mo Dewji afunguka kutekwa kwake kipindi cha Hayati Magufuli

Binafsi nimeshawahi shuhudia Bibi yangu Mlokole alikuwa anafunga mpaka siku 7 bila kula.
Kuna hili. Kufunga bila kula wala kunywa chochote vs kufunga kula lakini unakunywa au kuwekewa drip. Kufunga bila kula wala kunywa wala kuwekewa drip, hili linakuondosha kwa muda mfupi zaidi. Muda unategema na ''ntu na ntu'', mazingara uliyopo na activies unazofanya. Kuna wanaochukuwa kuanzia siku 7 mpaka 20 + hivi.
 
Pole Sana Mo Hiyo ni Mafiya Style walikuwa wakuondeshe kweli lkn suala lako lilikwenda juu sana .Allah akulinde sana .
 
Wewe umewahi kukaa siku ngapi bila kula?
Kama haupo kwenye system na ukamteka mtu ni rahisi kupatikana na watafanya kila njia utapatikana tu ila kama upo kwenye system ukamteka mtu, miaka buku huwezi kupatikana.
Hii ndiyo Tanzania. Kama unabisha, jaribu uone
 
Pole Sana Mo Hiyo ni Mafiya Style walikuwa wakuondeshe kweli lkn suala lako lilikwenda juu sana .Allah akulinde sana .
Kuelewa Tanzania itakuchukua muda sana.
Waliomteka wapo kwenye system ndiyo maana mpk leo wahusika hawajapatikana ila wangekuwa nje ya system ni haraka sana wangekamatwa.
Rejea: Ditopile Mzuzuri
 
Kila story ya watekwaji hawafahamu waliowateka nonsense NA Kila mtekwaji ameama nchi wakati sirikali inawapa ulinzi Na Kila mtekwaji haelewi sababu nonsense UGALI NA DAGAA mtamu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…