Mo Dewj ni Tapeli? Serikali imchunguze Huyu Bilionea

Kuna viashiria vinapelekea niamini kuwa huyu bilionea wa Simba huenda ni tapeli.
1. Alishawahi kusema kuwa ameinunua timu ya Simba na ndiyo kitu cha thamani anacho miliki. Ikumbukwe kuwa HAJAWAHI kukanusha kauli hii.

2. Interview ya Mh. Murtaza Mangungu aliyofanya na Crown FM alidai kuwa kuna wakati matapeli fulani waliandaa nyaraka zinazo onesha kuwa timu ya Simba imeuzwa kwa mtu binafsi.

Sijajua ni kwanini walimkatisha na kumwongoza kuendelea na mambo mengine kwa kisingizio kwamba watampa nafasi siku nyingine ili aelezee jambo hilo.

Sasa mnadhani huyo tapeli aliyeandaa nyaraka za kuuziwa timu ni nani?
Kwa kee

Kwa kweli, khanjibhai janja janja.
 
MImi ni shabiki wa Simba ila huwa nawahurumia jamaa anavyowadanganya.
Kuna kipindi kapiga picha na watu wa Juventus halafu akasema kaingia nao makubaliano kuhusu Simba halafu kukawa hamna kitu kinachoendelea, baadae akapiga picha na timu ya Marekani story ni hizohizo juzijuzi siku ya Simba day anasema kaingia makubaliano na Sturgatt yaani katuona wanasimba wote watu wa kudanganywa.
Usisahau wakaajiri na mtaalamu wa ku scout wachezaji mpaka Leo simsikii tena
 
Kuna viashiria vinapelekea niamini kuwa huyu bilionea wa Simba huenda ni tapeli.
1. Alishawahi kusema kuwa ameinunua timu ya Simba na ndiyo kitu cha thamani anacho miliki. Ikumbukwe kuwa HAJAWAHI kukanusha kauli hii.

2. Interview ya Mh. Murtaza Mangungu aliyofanya na Crown FM alidai kuwa kuna wakati matapeli fulani waliandaa nyaraka zinazo onesha kuwa timu ya Simba imeuzwa kwa mtu binafsi.

Sijajua ni kwanini walimkatisha na kumwongoza kuendelea na mambo mengine kwa kisingizio kwamba watampa nafasi siku nyingine ili aelezee jambo hilo.

Sasa mnadhani huyo tapeli aliyeandaa nyaraka za kuuziwa timu ni nani?
Ulishasikia wapi bilionea anakamatwa na anapatikana anakosa hata confidence ya kusema waliomkatama.

Pale hakunaga bilionea wakuu, ni celebobo tu lile
 
Mo hela zake nyingi ni kutafuta jasho na damu, wewe na ushabiki wako wa hizi timu za wendawazimu unataka mo achukue hela zake za mkonge aziweke Simba .

Tofauti na GSM ambae hela zake nyingi zina makandokando mengi ndio maana hata kuzitoa anazitoa kama njugu. Mtu sio tajiri namba mmoja lakini anachangia bilioni 10 ccm.
Mo hawezi kushinda na majitu kama haya , mshukuru tu hata kwa hicho anachotoa
 
Kuna viashiria vinapelekea niamini kuwa huyu bilionea wa Simba huenda ni tapeli.
1. Alishawahi kusema kuwa ameinunua timu ya Simba na ndiyo kitu cha thamani anacho miliki. Ikumbukwe kuwa HAJAWAHI kukanusha kauli hii.

2. Interview ya Mh. Murtaza Mangungu aliyofanya na Crown FM alidai kuwa kuna wakati matapeli fulani waliandaa nyaraka zinazo onesha kuwa timu ya Simba imeuzwa kwa mtu binafsi.

Sijajua ni kwanini walimkatisha na kumwongoza kuendelea na mambo mengine kwa kisingizio kwamba watampa nafasi siku nyingine ili aelezee jambo hilo.

Sasa mnadhani huyo tapeli aliyeandaa nyaraka za kuuziwa timu ni nani?
Sasa mashabiki ya Simba yenyewe si unayaona? Unafikri Ismail Aden Rage alikuwa mjinga kuyaita mbumbumbu? Yaache yaendelee kwenda KUNYA Jangwani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom