tapeli?

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mo Dewj ni Tapeli? Serikali imchunguze Huyu Bilionea

    Kuna viashiria vinapelekea niamini kuwa huyu bilionea wa Simba huenda ni tapeli. 1. Alishawahi kusema kuwa ameinunua timu ya Simba na ndiyo kitu cha thamani anacho miliki. Ikumbukwe kuwa HAJAWAHI kukanusha kauli hii. 2. Interview ya Mh. Murtaza Mangungu aliyofanya na Crown FM alidai kuwa kuna...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kingekitile Ngwale alikuwa Tapeli?

    Nawaza sana kuhusu Kinjekitile Ngwale. Huyu mhenga aliwezaje kuwashawishi watu wa wakati wake kuamini kuwa “ Maji Maji” yangewazuia risasi za mkoloni? Je, watu wa Kilwa na maeneo mengine walikuwa wajinga? Au walikuwa watu wanaotafuta tumaini katika mazingira ya kukandamizwa kupita kiasi? Je...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hii namba *152*00# ya NSSF haileti menu kama inavyotarajiwa

    Hawa NSSF wamewatangazia watanzania kuwa km unataka kujihudumia kwa maana ya kuona michango, mafao, salio lako n.k unaweza kutupigia *152*00# na ukajihudumia. Sasa nenda kapige utaishia kwenye kuingiza namba yako ya uanachama huwezi kuendelea zaidi ya hapo. Itakuambia ujumbe wako umetumwa...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Robert Kiyosaki wa Rich Dad, Poor Dad ni tapeli?

    Nimeangalia video moja Youtube inamuelezea kamajamaa ni magumashi sana. Sehemu kubwa ya pesa anazopata ni kupitia semina anazotoa akichaji dola 12K hadi 45K, na si kupitia biashara ya Real Estate kama anavyodai. Pia japo anasifika kwa kuandika kitabu hicho lakini hasa aliyefanya kazi ni...
  5. Amani ya Mungu

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Huyu ni tapeli wa Kujiaminisha?

    Naomba nikiri hoja yangu imelenga kuleta hoja vijana wajitume na sio kuwa ombaomba ilihali wana nguvu. Mwaka 2023 mwezi wa 5 nikiwa natembea maeneo ya Ubungo jirani na NBC bank alikuja kijana ambaye anaonekana kwenye video hapa na akaniambia yeye ni mwalimu amemaliza SUA na amepata kazi Songwe...
  6. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Mtu akiwa anakudai ni sawa kukuposti mitandaoni kukuita tapeli?

    Wakuu. Mimi siijui sana sheria kwani sio.taaluma yangu kabisa. Well Hapa ninapoishi kuna jirani yangu huyu mama mtu wa miaka Kati ya 30's . Huyu dada ni mtu wa mikopo sana sijui kausha damu mara vicoba sijui whatever anajua vyote. Mara kadhaa amekuwa akija kujificha kwangu asubuhi sana watu...
Back
Top Bottom