Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,709
- 10,193
- Thread starter
- #41
MO hatoi pesa anatoa ahadi. GSM anamwaga pesa.Unaamini MO na GSM wanatoa hizo pesa sababu ya kuwa shabiki wa Simba au Yanga? Wafanyabiashara hawana hayo mapenzi ya hivyo.