Lopsided_Truth
JF-Expert Member
- Jun 12, 2026
- 247
- 933
Umeenda mbali. Alipe mpishi mmojaUmeuziwa ww, haya toa mshahara wa mchezaji mmoja yeyote hapo simba
Umeenda mbali. Alipe mpishi mmojaUmeuziwa ww, haya toa mshahara wa mchezaji mmoja yeyote hapo simba
Ismail Mgunda anafanana na mwijaku. Ngoja tuoneDoumbia na Ismail Mgunda kwa pamoja hawafikii uwezo wa Dennis Nkane.
HahahaaIsmail Mgunda anafanana na mwijaku. Ngoja tuone
Kwani milage anayopewa na Simba kwake binafsi na bidhaa zake ni bei gani? Nadhani mo haidai Simba bali Simba inamdai mo na familia yake kwa logo ya Simba kumfikisha hapo alipofika mpaka sasa.Umeuziwa ww, haya toa mshahara wa mchezaji mmoja yeyote hapo simba
Hizo pesa kwanini hakuwalipa wapishi wa Singida United akabaki huko? Tumia akiliUmeenda mbali. Alipe mpishi mmoja
Anachokifanya mo Simba hawezi kukifanya hichohicho Yanga. Yanga ni maskini jeuri lakini ni maskini mabwenyenye.Tajiri hanuniwi! MO ni tajiri!
Bahati nzuri Simba Kuna utaratibu wa kisheria ambao, sawa bado haujakaa saa lakini MO na wadau wengine wa Simba hawana budi kuufuata!Anachokifanya mo Simba hawezi kukifanya hichohicho Yanga. Yanga ni maskini jeuri lakini ni maskini mabwenyenye.
Anasema anadai bilioni 80+Kwani milage anayopewa na Simba kwake binafsi na bidhaa zake ni bei gani? Nadhani mo haidai Simba bali Simba inamdai mo na familia yake kwa logo ya Simba kumfikisha hapo alipofika mpaka sasa.
GSM ni shabiki tu mwenye pesa zake. Usimpangie chakufanya.Bahati nzuri Simba Kuna utaratibu wa kisheria ambao, sawa bado haujakaa saa lakini MO na wadau wengine wa Simba hawana budi kuufuata!
Yanga Sasa, ni vururuvururu! Hivi GSM ni nani kwa Katiba ya Yanga? Ahahahahaha!!
Kumekucha……Kuna viashiria vinapelekea niamini kuwa huyu bilionea wa Simba huenda ni tapeli.
1. Alishawahi kusema kuwa ameinunua timu ya Simba na ndiyo kitu cha thamani anacho miliki. Ikumbukwe kuwa HAJAWAHI kukanusha kauli hii.
2. Interview ya Mh. Murtaza Mangungu aliyofanya na Crown FM aludai kuwa kuna wakati matapeli fulani waliandaa nyaraka zinazo onesha kuwa timu ya Simba imeuzwa kwa mtu binafsi.
Sijajua ni kwanini walimkatisha na kumwongoza kuendelea na mambo mengine kwa kisingizio kwamba watampa nafasi siku nyingine ili aelezee jambo hilo.
Sasa mnadhani huyo tapeli aliyeandaa nyaraka za kuuziwa timu ni nani?
Nimekubali. Kwamba akiamua kususa hata leo, mnarudisha "bakuli" sio? Ahahahahaha!GSM ni shabiki tu mwenye pesa zake. Usimpangie chakufanya.
GSM sio mo, asuse kwa lipi?Nimekubali. Kwamba akiamua kususa hata leo, mnarudisha "bakuli" sio? Ahahahahaha!
Maana ninavyojua huyo Msandawe mliye nae sasa hivi kama Tajiri Papaaa Mwinyi Zahera! Ahahahahaha!
Kiukweli hawezi kususa kwasababu pamoja na kwamba yeye binafsi ni Simba, ila Yanga kutekeleza "maagizo".aliyopewa. Unaikumbuka ile siku aliyopewa hayo "maagizo"? Ahahahahaha!!!GSM sio mo, asuse kwa lipi?
Porojo za vijiweni. Namfshamu GSM tangu enzi za Majimaji ya Songea, ni shabiki wa Yanga mpaka watu wakahisi majimaji inajirahisisha kwa Yanga kwasababu ya tajiri wake.Kiukweli hawezi kususa kwasababu pamoja na kwamba yeye binafsi ni Simba, ila Yanga kutekeleza "maagizo".aliyopewa. Unaikumbuka ile siku aliyopewa hayo "maagizo"? Ahahahahaha!!!
Ahahahahaha! Mi namfahamu tangu anafanya kazi kwa babaake na kabla hajaiamziaja hata hiyo GSM. Ni Simba mtu na ndio maana zaidi ya kutamka maneno "Yanga Bingwa" hawezi kusema chochote kuhusu Yanga maana roho inamsuta! Nenda Saigon pale kaulizie!Porojo za vijiweni. Namfshamu GSM tangu enzi za Majimaji ya Songea, ni shabiki wa Yanga mpaka watu wakahisi majimaji inajirahisisha kwa Yanga kwasababu ya tajiri wake.
Porojo za vijiweni.Ahahahahaha! Mi namfahamu tangu anafanya kazi kwa babaake na kabla hajaiamziaja hata hiyo GSM. Ni Simba mtu na ndio maana zaidi ya kutamka maneno "Yanga Bingwa" hawezi kusema chochote kuhusu Yanga maana roho inamsuta! Nenda Saigon pale kaulizie!
Ahahahahaha!Porojo za vijiweni.
Unaamini MO na GSM wanatoa hizo pesa sababu ya kuwa shabiki wa Simba au Yanga? Wafanyabiashara hawana hayo mapenzi ya hivyo.Ahahahahaha! Mi namfahamu tangu anafanya kazi kwa babaake na kabla hajaiamziaja hata hiyo GSM. Ni Simba mtu na ndio maana zaidi ya kutamka maneno "Yanga Bingwa" hawezi kusema chochote kuhusu Yanga maana roho inamsuta! Nenda Saigon pale kaulizie!
Unaamini MO na GSM wanatoa hizo pesa sababu ya kuwa shabiki wa Simba au Yanga? Wafanyabiashara hawana hayo mapenzi ya hivyo.Porojo za vijiweni. Namfshamu GSM tangu enzi za Majimaji ya Songea, ni shabiki wa Yanga mpaka watu wakahisi majimaji inajirahisisha kwa Yanga kwasababu ya tajiri wake.