Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 2,476
- 2,651
Wasalaam, pole prof Assad
Prof haitaji pole za wajinga, Prof anahitaji kupongezwa na wenye akili timamu kwa kusimamia kile anachokiamini kwa manufaa ya wananchi wa nchi hii,...Prof ni mchaMungu haogopi mwanadamu isipokuwa Mungu pekee
2020 John Walker out
Nyie ndio wajinga wenyewe ninaowasema, hii comment yako iko na uhusiano gani na comment yangu uliyoniquote?Endelea kuota rais magufuli akishindwa uchaguzi Wa 2020 Mimi ntahama nchi hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuota rais magufuli akishindwa uchaguzi Wa 2020 Mimi ntahama nchi hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Magufuli anajua kabisa kuwa kama uchaguzi unakuwa wa haki hawezi kushindaUchaguzi gani unazungumzia hapa? Huo uchaguzi UCHWARA?
Hivi aliteuliwa na nani?Prof haitaji pole za wajinga, Prof anahitaji kupongezwa na wenye akili timamu kwa kusimamia kile anachokiamini kwa manufaa ya wananchi wa nchi hii,...Prof ni mchaMungu haogopi mwanadamu isipokuwa Mungu pekee
2020 John Walker out
Jakaya Mrisho KikweteHivi aliteuliwa na nani?
Hata Magufuli anajua kabisa kuwa kama uchaguzi unakuwa wa hali hawezi kushinda
2020 John Walker out
Lugha ya mficho lakini maudhui yanasadifu ulichokiandikaNyie ndio wajinga wenyewe ninaowasema, hii comment yako iko na uhusiano gani na comment yangu uliyoniquote?
2020 John Walker out
Nahakika ameteuliwa na JiweJakaya Mrisho Kikwete
2020 John Walker out
Hili panga kiboko-JKHata ndani ya ccm kagundua hapendwi baada ya kufanya udukuzi wake, matokeo yake kaamua kupunguza idadi ya wapiga kura.
Dk Bashiru: Kura za maoni hazitashirikisha wengi CCM
Prof haitaji pole za wajinga, Prof anahitaji kupongezwa na wenye akili timamu kwa kusimamia kile anachokiamini kwa manufaa ya wananchi wa nchi hii,...Prof ni mchaMungu haogopi mwanadamu isipokuwa Mungu pekee
2020 John Walker out