Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Subira the princess

JF-Expert Member
Mar 3, 2018
2,466
2,642
Wasalaam, pole prof Assad

KP11122019.jpg
 
Endelea kuota rais magufuli akishindwa uchaguzi Wa 2020 Mimi ntahama nchi hii.
Prof haitaji pole za wajinga, Prof anahitaji kupongezwa na wenye akili timamu kwa kusimamia kile anachokiamini kwa manufaa ya wananchi wa nchi hii,...Prof ni mchaMungu haogopi mwanadamu isipokuwa Mungu pekee

2020 John Walker out

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom