Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
4,523
Reaction score
4,722
Wasalaam, pole prof Assad

KP11122019.jpg
 
Acheni kumtisha mwenzenu aendelee na majukumu yake kama kawaida.
 
Endelea kuota rais magufuli akishindwa uchaguzi Wa 2020 Mimi ntahama nchi hii.
Prof haitaji pole za wajinga, Prof anahitaji kupongezwa na wenye akili timamu kwa kusimamia kile anachokiamini kwa manufaa ya wananchi wa nchi hii,...Prof ni mchaMungu haogopi mwanadamu isipokuwa Mungu pekee

2020 John Walker out

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prof haitaji pole za wajinga, Prof anahitaji kupongezwa na wenye akili timamu kwa kusimamia kile anachokiamini kwa manufaa ya wananchi wa nchi hii,...Prof ni mchaMungu haogopi mwanadamu isipokuwa Mungu pekee

2020 John Walker out
Hivi aliteuliwa na nani?
 
Back
Top Bottom