Wabunge wa Chadema enzi za Zitto Kabwe walisusa kupokea Posho wakidai ni kubwa mno na Mbowe alirudisha gari la KUB!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Katika hili Chadema mlionyesha Uzalendo wa hali ya juu

Mmeingia kwenye Vitabu Vya kumbukumbu

Mlale Unono 😀😀🔥
 
Sasa hivi wanajuta sana kwa nini walifanya maamuzi butu kama hayo.

Usikute wanatamani sana siku zirudi nyuma ili wabadili msimamo wao.
 
Wangerudisha TShs 2.7billioni labda...

Hatahivyo wameingia katika historia, ya kususa susa, kupumbaza umma kwa hadaa nyingi tu...mfano walikuwa hawakuitambua Serikali na walikataa Ruzuku(Mfyonyo hapa)

Leo Account inasema TSh. 2.7billioni received.

Hiki chama kitatuuza mazima kwa wazungu.
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Katika hili Chadema mlionyesha Uzalendo wa hali ya juu

Mmeingia kwenye Vitabu Vya kumbukumbu

Mlale Unono 😀😀🔥
walipigika hasa, hadi harusi wakawa wanachagia single card kama ni dable ujeu wameungana wawili dah 🐒
 
Back
Top Bottom