Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,304
- 7,358
Mkuu Mwita Maranya kama Kimbunga hampendi Mnyika kabisa, akiiona hii thread atakesha nayo hata wiki nzimaYani kati ya wabunge/mawaziri bogus mama Kabaka ni namba mbili baada ya Sofia Simba.
Hana akili ya kumshauri j j Mnyika na hana uwezo wa kumsaidia Mnyika katika kutafutia ufumbuzi kero za jimbo la Ubungo.
Kazi anazofanya Mnyika kwa wapiga kura wake hakuna mbunge anayeweza kumfikia kwa sasa. Ni juzi tu akiwa na waziri wa maji Prof. Maghembe wamezindua mradi mkubwa sana wa maji maeneo ya Ubungo Makuburi/external kwahiyo eneo hilo amemaliza kero ya maji na bado anaendelea na maeneo mengine.
Wafitini na wenye wivu ndio mnaopiga kelele hapa kila mara lakini ukweli ni kwamba Mnyika amefanikiwa kwa sehemu kubwa sana kupunguza tatizo la maji ubungo kuliko wabunge wote waliomtangulia. Na kwakuwa anafanya vizuri sana katika siasa za kitaifa pia, ndo maana wale wanaomuombea mabaya kama Kimbunga na masopakyindi wanakesha kumchawia hapa JF.
Last edited by a moderator: