Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

Kweli suala la maji katika mtaa wa kilimanji ni kero inayoumiza wakazi vichwa. Mabomba mapya yamesambazwa mtaa mzima lakini wakazi hawaunganishiwi baada ya kutoa ahadi nyingi miaka mingi yote iliyopita. Infrastructure inaozea ardhini kabla ya kutumika! Wachache tu wameunganishiwa kinyemela.
 
Kweli suala la maji katika mtaa wa kilimanji ni kero inayoumiza wakazi vichwa. Mabomba mapya yamesambazwa mtaa mzima lakini wakazi hawaunganishiwi baada ya kutoa ahadi nyingi miaka mingi yote iliyopita. Infrastructure inaozea ardhini kabla ya kutumika! Wachache tu wameunganishiwa kinyemela. Naomba mbunge wa ubungo atatue hili ambalo halihitaji gharama kubwa bali ni kuunganisha katika network yenye maji kulingana na plan yake.
 
MAJI.jpg
 
John john Mnyika, mi namkubali sana huyu bwanamdogo, nategemea kutakuwa na hoja za kumponda na kujaribu kumkatisha tamaa kwa sababu anatishia ulaji wa ccm, asiogope hizo ndo siasa, kaza buti mnyika tulio wengi tunajua unachokifanya!
 
unajitia uchiz au unajifanya haujui ili kukwepa kujibu hoja?
wakati anatoa ahadi hakujua hilo?
Ha ha ha!
Watu wanafikiri siasa ni majukwaa tu, hwajui kuwa kuna kufanya kazi inayotazamiwa na wananchi!
 
hivi huyo Mtemvu kafanya nini mi nipo hapa TMK hakuna kitu achani ujinga
 
Kuna tofauti kubwa kati ya mwanasiasa na kiongozi jamaa anaweza siasa but hawezi kuongoza wenye akili watanielewa wasio na akili watanitukana
wenye akili na viongozi wameonekana leo.
 
Katika wabunge vijana wa CHADEMA, Mbunge Mnyika huwa anani-impress sana kwa kutumia akili katika hoja zake nyingi.

Hata hivyo sasa mambo inaelekea yanamwendea vibaya jimboni kwake Ubungo, kwa kushindwa kuutafuna mifupa mikavu uliyowasambaratisha wabunge wengi wa eneo hilo-tatizo la maji na miundo mbinu Ubungo.

Waziri Kabaka , Waziri wa Kazi na Ajira, amemrushia madongo mazito Mbunge John Mnyika kwa kushindwa kwake "kuona ndani" katika kulitatua tatizo hilo. (ref Mwananchi 6/11/2012, pg 8)

Waziri Kabaka amedai kuwa Mnyika amekuwa akitumia muda mwingi katika siasa za Bunge kuliko kutatua matatizo ya wananchi wa Ubungo.

Katika kusaidia kutatua matatizo ya Ubungo Waziri Kabaka ameahidi kumwona waziri mwenziwe wa Maji na ili alitazame tatizo la maji Ubungo na kulitatua.

Anachosema Waziri Kabaka kina mantiki kubwa, Mnyika inabidi ajipange na kuwa na uhusiano mzuri na "magamba" wanaoendesha wizara zinazomgusa kiutendaji jimboni kwake.

Uchaguzi si mbali, na jimbo la Ubungo ndio hilo, wengi wanalikodolea macho.
Wote tumeona tatizo liko wapi leo.
 
Ah sisi Ubungo Original tuna imani na Mnyika, huku CCM isahau.
 
mnyika atabaki kuwa mnyika tu.Ni tofauti kabisa na kipaza sauti NAPE,MWIGULU,LUSINDE,SHIGELLA n.k ..Mnyika ni hazina ya Taifa hili kwa siku zajazo BILA KUJALI CHAMA ATAKACHOKUWA ANAKIWAKILISHA.
 
Mkuu wengine tumesema humu weeeee lakini tunaonekana hatumtakii mema Mnyika. Kila siku kauli yangu ni kwamba Mnyika ni mahiri katika kujenga hoja na ni msaada mkubwa sana kwa Taifa hili kwa jinsi anavyojenga hoja za kulitetea. Lakini aangalie tusije kumkosa Ubungo kwa kushindwa kutatua kero za maji na barabara. Hayo matatizo ni makubwa Ubungo na ndiyo yanawaangusha wabunge. Najua kuna mipango na michakato mingi ya kutatua hayo matatizo lakini tukumbuke njaa haina mchakato. Atafanya michakato hadi anaondoka mwenzake anakuja anamalizia mchakato anaibuka bingwa!

Unaweza ukawa unasema weeeeeee, lakini unasema ujinga.

Hivi tatizo la Maji Ubungo linaweza kumalizwa na Mnyika kwa kutoa maji nyumbani kwake na kugawia wananchi au?

GT mtumie akili zenu vyema, haya anayoyafanya Mnyika ndio suluhisho. Ubungo tuna mabomba lakini maji hayatoki. Kama serikali haijadhamiria kuboresha huduma ya maji jijini Dar es Salaam basi maji hayatakuwepo Ubungo.

Hata hao wabunge waliopita hawakuleta maji Ubungo sababu tatizo ni kwamba maji yenyewe hayapo. Sasa nafikiri hizi mada zenu zinaletwa ili kumuondoa Mheshimiwa kwenye 'Hoja Binafsi' ambayo ndilo suluhisho la jumla na badala yake mnaleta busara za ki-CCM hapa.
 
Waziri Kabaka , Waziri wa Kazi na Ajira, amemrushia madongo mazito Mbunge John Mnyika kwa kushindwa kwake "kuona ndani" katika kulitatua tatizo hilo. (ref Mwananchi 6/11/2012, pg 8)

Waziri Kabaka na wewe wote akili zenu ziko sawa. Waziri Kabaka angekuwa na uelewa wa kutosha, angejua kuwa tuna muda mwingi wa kuchangia hata hoja za kipumbavu kama hii kwa kuwa HATUNA AJIRA.

Vile vile Waziri Kabaka, wewe na wenzio wenye akili kama za Kabaka, mnapaswa kujua kuwa aliyeshindwa kutatua tatizo la maji Ubungo ni Serikali ya CCM na sio Mnyika. Mnyika sio mmiliki wa Rasilimali za nchi hii, yeye ni mwakilishi wetu tu. Hata hoja binafsi alioitoa bungeni juzi ni sehemu ya kazi tuliyomtuma na ndio maana mmekuja hapa kumchafua.

Waziri Kabaka amedai kuwa Mnyika amekuwa akitumia muda mwingi katika siasa za Bunge kuliko kutatua matatizo ya wananchi wa Ubungo.

Mwambie Waziri Kabaka kuwa na yeye anaonekana kutumia muda mwingi kumjadili Hon. John Mnyika MP, badala ya kuangalia mambo ya wizara yake. Anatakiwa atambue kuwa Mnyika si Waziri, kama anataka kupiga madongo ampige madongo Waziri wa Maji. (Huyu anayepepesushwa na hoja binafsi)

Katika kusaidia kutatua matatizo ya Ubungo Waziri Kabaka ameahidi kumwona waziri mwenziwe wa Maji na ili alitazame tatizo la maji Ubungo na kulitatua.

Hakuna chochote anachoweza kutusaidia. Kama Waziri ana msaada na anisaidie mimi kupata ajira. Tatizo la maji Ubungo lipo tangu awali, serikali ipo tangu awali, wizara ipo tangu awali. Kinachowafanya mjidai mnalijua sasa ni nini kama sio ushambenga na hofu ya HOJA BINAFSI ya mbunge wetu?

Uchaguzi si mbali, na jimbo la Ubungo ndio hilo, wengi wanalikodolea macho.

Mnakaribishwa, lkn kumbukeni Ubungo sio Dodoma kwa Malecela. Huku tunaishi watu wenye akili zetu na tunaelewa nani anawajibika kufanya nini. Kama mnadhani hizi ngonjera zinaweza kumgeuza mawazo mtu kama mimi mnajidanganya...sanasana mnanipa sababu ya kuamini kuwa dawa iliyobaki ni kuhakikisha CCM haipo kabisa.

Tatizo la Maji kwetu haliletwi na Mbunge, linaletwa na Waziri wa magamba
Kwani alipokuwa Venance Ngula tulikuwa na maji?
Kwani alipokuwa Masumbuko Lamwai tulikuwa na maji?
Kwani alipokuwa Charles Keenja tulikuwa na maji?

Sasa nieleze ni lini Wizara ilimuwezesha mmoja kati ya hawa marehemu wa kisiasa niliowataja kuipa maji Ubungo.

Kuhusu uchaguzi, njooni mnakaribishwa. Ila kwa afya za mioyo yenu, nendeni kamuulizeni Hawa Nghumbi na Julius Mtatiro kabla hamjakurupuka. Amin amin nawaambia, bora kuingia choo cha kike kuliko mwanamke kuingia choo cha kiume. Wenyewe tunakojoa wima, sasa karibu mama na wewe tuone utakojoaje ilhali choo chenyewe ni ukuta tu
 
Lakini mwanzo mwisho, Jumanne Magembe anatudanganya na mikakati isiyotekeleze miaka 50. Ndungai anazuia muswada usijadiliwe, wakati akijua CCM wamefika mwisho wa kufikiri, Wanahitaji mchango wa mawazo, wanakataa. Hakika CCM ni janga. Na kwa hili wamekwisha. Tusisikie mnamtaja mnyika katika hili. Na 2015 mtajiju.
 
Waziri Kabaka na wewe wote akili zenu ziko sawa. Waziri Kabaka angekuwa na uelewa wa kutosha, angejua kuwa tuna muda mwingi wa kuchangia hata hoja za kipumbavu kama hii kwa kuwa HATUNA AJIRA.

Vile vile Waziri Kabaka, wewe na wenzio wenye akili kama za Kabaka, mnapaswa kujua kuwa aliyeshindwa kutatua tatizo la maji Ubungo ni Serikali ya CCM na sio Mnyika. Mnyika sio mmiliki wa Rasilimali za nchi hii, yeye ni mwakilishi wetu tu. Hata hoja binafsi alioitoa bungeni juzi ni sehemu ya kazi tuliyomtuma na ndio maana mmekuja hapa kumchafua.

Mwambie Waziri Kabaka kuwa na yeye anaonekana kutumia muda mwingi kumjadili Hon. John Mnyika MP, badala ya kuangalia mambo ya wizara yake. Anatakiwa atambue kuwa Mnyika si Waziri, kama anataka kupiga madongo ampige madongo Waziri wa Maji. (Huyu anayepepesushwa na hoja binafsi)

Hakuna chochote anachoweza kutusaidia. Kama Waziri ana msaada na anisaidie mimi kupata ajira. Tatizo la maji Ubungo lipo tangu awali, serikali ipo tangu awali, wizara ipo tangu awali. Kinachowafanya mjidai mnalijua sasa ni nini kama sio ushambenga na hofu ya HOJA BINAFSI ya mbunge wetu?

Mnakaribishwa, lkn kumbukeni Ubungo sio Dodoma kwa Malecela. Huku tunaishi watu wenye akili zetu na tunaelewa nani anawajibika kufanya nini. Kama mnadhani hizi ngonjera zinaweza kumgeuza mawazo mtu kama mimi mnajidanganya...sanasana mnanipa sababu ya kuamini kuwa dawa iliyobaki ni kuhakikisha CCM haipo kabisa.

Tatizo la Maji kwetu haliletwi na Mbunge, linaletwa na Waziri wa magamba
Kwani alipokuwa Venance Ngula tulikuwa na maji?
Kwani alipokuwa Masumbuko Lamwai tulikuwa na maji?
Kwani alipokuwa Charles Keenja tulikuwa na maji?

Sasa nieleze ni lini Wizara ilimuwezesha mmoja kati ya hawa marehemu wa kisiasa niliowataja kuipa maji Ubungo.

Kuhusu uchaguzi, njooni mnakaribishwa. Ila kwa afya za mioyo yenu, nendeni kamuulizeni Hawa Nghumbi na Julius Mtatiro kabla hamjakurupuka. Amin amin nawaambia, bora kuingia choo cha kike kuliko mwanamke kuingia choo cha kiume. Wenyewe tunakojoa wima, sasa karibu mama na wewe tuone utakojoaje ilhali choo chenyewe ni ukuta tu

Kwa harufu ya uozo unaoutoa sijui unaongea toka choo gani?
You smell shit mister!
 
Ha ha ha!
Watu wanafikiri siasa ni majukwaa tu, hwajui kuwa kuna kufanya kazi inayotazamiwa na wananchi!

Kwani matatizo ya maji Ubungo yameanza awamu gani? Hii ya 4 ambako Mh Mnyika ni Mbunge ama....?!
 
Katika wabunge vijana wa CHADEMA, Mbunge Mnyika huwa anani-impress sana kwa kutumia akili katika hoja zake nyingi.

Hata hivyo sasa mambo inaelekea yanamwendea vibaya jimboni kwake Ubungo, kwa kushindwa kuutafuna mifupa mikavu uliyowasambaratisha wabunge wengi wa eneo hilo-tatizo la maji na miundo mbinu Ubungo.

Waziri Kabaka , Waziri wa Kazi na Ajira, amemrushia madongo mazito Mbunge John Mnyika kwa kushindwa kwake "kuona ndani" katika kulitatua tatizo hilo. (ref Mwananchi 6/11/2012, pg 8)

Waziri Kabaka amedai kuwa Mnyika amekuwa akitumia muda mwingi katika siasa za Bunge kuliko kutatua matatizo ya wananchi wa Ubungo.

Katika kusaidia kutatua matatizo ya Ubungo Waziri Kabaka ameahidi kumwona waziri mwenziwe wa Maji na ili alitazame tatizo la maji Ubungo na kulitatua.

Anachosema Waziri Kabaka kina mantiki kubwa, Mnyika inabidi ajipange na kuwa na uhusiano mzuri na "magamba" wanaoendesha wizara zinazomgusa kiutendaji jimboni kwake.

Uchaguzi si mbali, na jimbo la Ubungo ndio hilo, wengi wanalikodolea macho.

kwani aliyetengeneza tatizo la maji ni nani?CCM wamekua wakitengeneza matatizo, halafu baadae wanajisifia tena kutatua.Huu ni upuuzi wa hali ya juu.Saa hizi wanahangaika kujisifia kufufa reli ya kati na wakati walioiua ni wao wenyewe.
 
Huyo anayesema tuache kumshika Mnyika hamatakii Mnyika mema na nadhani Mnyika ana akili tosha. Mimi ninachotaka ni maelezo mazuri ya kwa nini sehemu ya mtaa wa Kilimani kuanzia Kindo shuka hadi Migombani na kwingineko kote hakuna maji eti kwa sababu hawataki kuweka through connecter pale Kindo tupate maji kama zamani. Huko nyuma nimeeleza kwa kirefu sana leo niseme tu hivyo.
 
Back
Top Bottom