Dr Slaa leo ameweka wazi mpango wa kutaka kumuua yeye, Mnyika na Lema unaosukwa sasa kwa sumu au nguvu. Amesema usalama wasimsumbue na maswali maana wanahusika. Hii sasa serikali - Mafia - Mafioso. Source: Channel ten usiku huu, yeye Slaa ameongea

Tunayo jamvini toka mchana.Dr Slaa leo ameweka wazi mpango wa kutaka kumuua yeye, Mnyika na Lema unaosukwa sasa kwa sumu au nguvu. Amesema usalama wasimsumbue na maswali maana wanahusika. Hii sasa serikali - Mafia - Mafioso. Source: Channel ten usiku huu, yeye Slaa ameongea
Wanamapinduzi huwa
hawaogopi kifo, nilidhani magwanda ni ya msituni kumbe ya urembo tu,
nilitaka nishangae watu wenyewe hata National Service hawakupita, kumbe
Job Lusinde alikuwa sahihi huko Karatu