Agenda yenu ya kua Mnyika anahama Chama iliishia wapi? Just thinkingMweshimiwa sana John Mnyika napenda kukumbusha badala ya kushadadia operation UKUTA tafadhali njoo huku jimboni tufanye harakati za maendeleo!!
Tangu uchaguzi mpaka leo bado huku Mbezi Msumi maji ni shida, umeme imekuwa ndoto, barabara hajizachongwa tangu alipoondoka Yes.
Nakusii siasa za uanaharakati zimepitwa na wakati njoo huku tujenge UKUTA wa maendeleo.
2020 mnyika atakimbia tena hapo kibamba, sasa nasubiri kuona atakimbilia wapi..
Mmoja ameshakata tamaa, amemwomba kocha acheze ligi za mchangani!Nilishangazwa sana kuona mawaziri wakuu wastaafu wawili wanakubali kupitisha neno Kama Hilo "UKUTA" na tena eti wanautafuta URAIS, tumekwisha. CCM ilikua sahihi kabisa kuwakatilia mbali maana huku hatuna watu wenye maamuzi ya ajabu ajabu kama hayo ya UKUTA.
Kwani mkurugenzi na waziri wa miundo mbinu wanasemaje, mbuge si kazi yake kujenga barabara yeye ufuatilia mipango ya serikali kwenye eneo lake na kingine ni kutunga sheria ambazo usaidia nchi nzima, kwa kumsaidia unaweza hata wewe ukamfuata mkurugenzi wa ubungo akupe ufafanuzi kuhusu hizo barabara, kama hana majibu nenda kwa waziri kama nao hawana majibu nenda kwa jpm mwenyewe.Mweshimiwa sana John Mnyika napenda kukumbusha badala ya kushadadia operation UKUTA tafadhali njoo huku jimboni tufanye harakati za maendeleo!!
Tangu uchaguzi mpaka leo bado huku Mbezi Msumi maji ni shida, umeme imekuwa ndoto, barabara hajizachongwa tangu alipoondoka YESU.
Nakusii siasa za uanaharakati zimepitwa na wakati njoo huku tujenge UKUTA wa maendeleo.
Kweli nimeanza kuamini kwamba hawa jamaa walitaka kuuza nchi!! kwa taharifa yenu hakuna mwananchi atakaye kuja kupoteza muda!! Watu tumefunguka mwacheni raisi wetu achanje mbuga
Wenzenu wamewasoma sasa wanataka wawale mchana kweupeee
Matusi ya nini, sijatukana mtu hapa. Lofa mama yako na baba yako, stupid burger! Nincompoop ! I tell you you are stupid!We Lofa kweli, sasa JPM anataka maendeleo, huyo Mnyika wako badala ya kurudi jimboni kwake na kushirikiana na watu wake kuainisha matatizo yao na kuyapeleka kwa JPM yeye anashikishwa UKUTA! Sasa nini faida yake?
Kwa hiyo kilio chako ni mchango? Haya, tangu lini mchango ukawa wa lazima?Mnyika huyu huyu alimchangia aliyetukana rais Arusha.
Je hela za kuchangia wanaotukana mitandaoni zipo ila za kuchangia maendeleo kibamba hakuna??
Kwani kwa hii miaka yooooye 50+ ambayo CCM imekaa madarakani, huko Kibamba maji mlikuwa mnachota wapi? CCM ilichaguliwa iolewe? Mbona unakosa staha wewe!Jibu swali Mnyika mlimchagua wa nini? Ni mwanamke tutasema ameolewa?
Yaan haka kajamaa sijui kwann tulikachagua tena huku.Mweshimiwa sana John Mnyika napenda kukumbusha badala ya kushadadia operation UKUTA tafadhali njoo huku jimboni tufanye harakati za maendeleo!!
Tangu uchaguzi mpaka leo bado huku Mbezi Msumi maji ni shida, umeme imekuwa ndoto, barabara hajizachongwa tangu alipoondoka YESU.
Nakusii siasa za uanaharakati zimepitwa na wakati njoo huku tujenge UKUTA wa maendeleo.
Unahisi wanaamaanisha nini mbunge anaposema ataondoa kero za wananchi haswa kipindi cha kampeni?Hivi kwa nini mnajisifia ujinga?
Umeme = TANESCO
Maji = DAWASCO
Barabara = TANROADS na MANISPAA
Au hizi taasisi ziko chini yake? Msijitoe fahamu, jazeni fomu pelekeni DAWASCO
Mnyika ni flying MP!2020 mnyika atakimbia tena hapo kibamba, sasa nasubiri kuona atakimbilia wapi..
Kweli mkuu, kama angejua hivyo asingetoa ahadi ya kuondoa kero. Mnyika aliingia Ubungo na ameondoka bila kusema alileta nini cha kukumbukwa na wapiga kura wa Ubungo. Ngoja wa Kibamba nao waendelee kula matunda ya mabadiliko!!Unahisi wanaamaanisha nini mbunge anaposema ataondoa kero za wananchi haswa kipindi cha kampeni?
UKUTA ndio mpango mzima.Inaonekana una upeo finyu sana!! Sasa UKUTA wa nini? Aje afanye siasa hapa jimboni kwake la sivyo hakuna jinsi ni kupigwa tuuu
aise uku kibamba kumedoda mpk tumesahau km tuna mbunge anaetuwakilisha mnyika umetusahau kabsa sio siriMweshimiwa sana John Mnyika napenda kukumbusha badala ya kushadadia operation UKUTA tafadhali njoo huku jimboni tufanye harakati za maendeleo!!
Tangu uchaguzi mpaka leo bado huku Mbezi Msumi maji ni shida, umeme imekuwa ndoto, barabara hajizachongwa tangu alipoondoka YESU.
Nakusii siasa za uanaharakati zimepitwa na wakati njoo huku tujenge UKUTA wa maendeleo.
mwana mtoka hamna kitu wewe wakufuatilia ivoo vitu si mbunge au?? tatizo wakati wanapanga bajeti alifunga plasta mdomoni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]Shida yako unaishi ishi tu kama mende, kodi hulipi. Ungekuwa unalipa kodi ungeshajua nani unapaswa kumdai maji na umeme. Next time unaongea na mimi, anza na shikamoo