Nilishangazwa sana kuona mawaziri wakuu wastaafu wawili wanakubali kupitisha neno Kama Hilo "UKUTA" na tena eti wanautafuta URAIS, tumekwisha. CCM ilikua sahihi kabisa kuwakatilia mbali maana huku hatuna watu wenye maamuzi ya ajabu ajabu kama hayo ya UKUTA.Hayo ndiyo matatizo hasa Ya Watanzania
Sio kuwaletea UKUTA
Ili iweje!!
HUO UKUTA SHIKA MWENYEWE
UKUTA ashike Mwenyekiti wa Chama jamani siasa za kupiga kelele eti... Zimepitwa na wakati kwanza 2020 Mnyika hata kwa dawa hapati kitu.Hayo ndiyo matatizo hasa Ya Watanzania
Sio kuwaletea UKUTA
Ili iweje!!
HUO UKUTA SHIKA MWENYEWE
JPM alisema akiwa Rais kila kitu kitakuwa sawa, MKASHANGILIA. Mtafute umwambie, usimuonee Mnyika!Mweshimiwa sana John Mnyika napenda kukumbusha badala ya kushadadia operation UKUTA tafadhali njoo huku jimboni tufanye harakati za maendeleo!!
Tangu uchaguzi mpaka leo bado huku Mbezi Msumi maji ni shida, umeme imekuwa ndoto, barabara hajizachongwa tangu alipoondoka Yes.
Nakusii siasa za uanaharakati zimepitwa na wakati njoo huku tujenge UKUTA wa maendeleo.
Hawa wamezoea ujinga waoUKUTA ashike Mwenyekiti wa Chama jamani siasa za kupiga kelele eti... Zimepitwa na wakati kwanza 2020 Mnyika hata kwa dawa hapati kitu.
Kwani mnyika ni dawasco?Mweshimiwa sana John Mnyika napenda kukumbusha badala ya kushadadia operation UKUTA tafadhali njoo huku jimboni tufanye harakati za maendeleo!!
Tangu uchaguzi mpaka leo bado huku Mbezi Msumi maji ni shida, umeme imekuwa ndoto, barabara hajizachongwa tangu alipoondoka Yes.
Nakusii siasa za uanaharakati zimepitwa na wakati njoo huku tujenge UKUTA wa maendeleo.
Basi ni mhandisi kwani naona anajenga UKUTA chonde chonde awe makini usije mwangukiaKwani mnyika ni dawasco?
Naiona hiyooo CHADEMA inazamaBasi ni mhandisi kwani naona anajenga UKUTA chonde chonde awe makini usije mwangukia
Inaonekana una upeo finyu sana!! Sasa UKUTA wa nini? Aje afanye siasa hapa jimboni kwake la sivyo hakuna jinsi ni kupigwa tuuuMmepakana na Pwani lazima muwe na akili za vigodoro! Mnyika ana fungu la barabara au mnyika ni mwenye fedha za maji?
Na wa ukonga ndio kabisa,yye kazi yake kupiga picha za kugawa madawati basi,yaaani bora na CCM, hawa CDM ni janga kubwa sana.Mweshimiwa sana John Mnyika napenda kukumbusha badala ya kushadadia operation UKUTA tafadhali njoo huku jimboni tufanye harakati za maendeleo!!
Tangu uchaguzi mpaka leo bado huku Mbezi Msumi maji ni shida, umeme imekuwa ndoto, barabara hajizachongwa tangu alipoondoka Yes.
Nakusii siasa za uanaharakati zimepitwa na wakati njoo huku tujenge UKUTA wa maendeleo.
Si mlisema kaitosa Chadema mmegeuza kibao tenaMweshimiwa sana John Mnyika napenda kukumbusha badala ya kushadadia operation UKUTA tafadhali njoo huku jimboni tufanye harakati za maendeleo!!
Tangu uchaguzi mpaka leo bado huku Mbezi Msumi maji ni shida, umeme imekuwa ndoto, barabara hajizachongwa tangu alipoondoka Yes.
Nakusii siasa za uanaharakati zimepitwa na wakati njoo huku tujenge UKUTA wa maendeleo.
Hivi kwa nini mnajisifia ujinga?Mweshimiwa sana John Mnyika napenda kukumbusha badala ya kushadadia operation UKUTA tafadhali njoo huku jimboni tufanye harakati za maendeleo!!
Tangu uchaguzi mpaka leo bado huku Mbezi Msumi maji ni shida, umeme imekuwa ndoto, barabara hajizachongwa tangu alipoondoka Yes.
Nakusii siasa za uanaharakati zimepitwa na wakati njoo huku tujenge UKUTA wa maendeleo.
Mkuu tuliochagua machadema tunajuta .Mweshimiwa sana John Mnyika napenda kukumbusha badala ya kushadadia operation UKUTA tafadhali njoo huku jimboni tufanye harakati za maendeleo!!
Tangu uchaguzi mpaka leo bado huku Mbezi Msumi maji ni shida, umeme imekuwa ndoto, barabara hajizachongwa tangu alipoondoka Yes.
Nakusii siasa za uanaharakati zimepitwa na wakati njoo huku tujenge UKUTA wa maendeleo.
Kwa hiyo mlihubiri mabadiliko kuwadanganya watanzania??Hivi kwa nini mnajisifia ujinga?
Umeme = TANESCO
Maji = DAWASCO
Barabara = TANROADS na MANISPAA
Au hizi taasisi ziko chini yake? Msijitoe fahamu, jazeni fomu pelekeni DAWASCO
Shida yako unaishi ishi tu kama mende, kodi hulipi. Ungekuwa unalipa kodi ungeshajua nani unapaswa kumdai maji na umeme. Next time unaongea na mimi, anza na shikamooKwa hiyo mlihubiri mabadiliko kuwadanganya watanzania??