Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,268
Anasema yupo nje ya nchi huku mapovu yanamvuja kama jasho la kibarua mgonga kokotoKwa nini usinyamaze tu?
Anasema yupo nje ya nchi huku mapovu yanamvuja kama jasho la kibarua mgonga kokotoKwa nini usinyamaze tu?
Teh ... Teh ... Teh ...Lizaboni anadai posho yake ya wiki hajapata toka lumumba hivyo jana kajidunga mataputapu aka kangala ya kutosha
zamani tulikua hatuombi namba za mhariri... Mnyika alikua anapost hadi facebookHuna namba ya Mhariri wa mwananchi on line?
Anazichukuliaje habari za gazeti la RAIA MWEMA ambalo taarifa za kiuchunguzi zinadokeza kwamba wiki hii wameandaa uzushi mwingine kuhusiana na mnyika huyohuyo ?Naibu Katiba Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amekanusha taarifa zinazodai kuwa anataka kuachana na chama hicho.
Mnyika amesema hayo jana alipopigiwa simu ili azungumzie taarifa hizo. Mbunge huyo wa Kibamba amesisitiza kwamba huo ni uzushi.
“Hakuna kitu kama hicho na wala sina mpango wa kuhama,” amesema.
Habari za kujiuzulu kwa Mnyika zilianza kusambaa katika vyombo vya habari kwa mara ya kwanza mwaka 2013 baada ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, Zitto Kabwe kufukuzwa uanachama.
Uvumi ulienea kwenye mitando kwamba amejivua nyadhifa zake zote na kwamba ameshakabidhi barua yake kwa Katibu Mkuu wakati huo, Dk Willibrod Slaa.
Chanzo: Mwananchi online
Wewe nae uwe unasoma unaelewa...kakwambia source Mwananchi online ,clip inatoka wapi tena?
kwa kamanda Ben Saanane mlikuwa mna-bitch hivi hivi, ghafla akawaumbua na bado anaendelea kuwaumbua!Mnyika anaondoka
Na naunga mkono sababu CHADEMA imepoteza dira
Wachukue hatua gani mkuu! Maana hawana uwezo wa kutengua uteuzi wao.Badala ya kuchukua hatua kuhusu hawa DED ambao sasa ni makada wao wanakazania tu na mkutano wa CCM
Ina maana hawajui kama hawa DED ndiyo wasimamizi wa chaguzi zinazokuja?
Hiki chama bure kabisa kwa kweli
Kwa Taifa la TANZANIA lilipo sasa hv ushabiki wa vyama si tija kwa nchi tena. Viongozi wa focus kwenye matatizo ya wananchi na waache ushabiki uchwara wa vyama.
Ushabiki wa vyama ndo unazidi kudidimiza Taifa la Tanzania. Watu hawaangalii tena ni hoja ipi yenye nguvu ikubalike kuivusha Tanzania kwenda mbele wamebakia kushabikia vyama tu.
Leo hii kiongozi wa CCM akitoa hoja yenye nguvu inayoweza kuvusha Tanzania kwenda mbele basi kwa kuwa kaitoa mtu wa CCM upinzani kwa nguvu zote watapinga. Leo kiongozi wa UPINZANI akitoa hoja yenye nguvu ya kuwezesha kuleta maendeleo kwa wananchi basi kwa kuwa imetolewa na UPINZANI viongozi wote wa CCM. wataipinga kwa nguvu zote kwa sababu tu imetolewa na UPINZANI.
Huu ni upofu wa akili, sijui wamelogwa🙁🙁. Sisi kama watanzania hatuhitaji kujua ni CCM au ni UKAWA wamefanya tunahitaji maendeleo kwa Watanzania. Ukisikiliza mijadala inayoendelea bungeni sometimes ungekuwa na uwezo unaweza chapa watu bakora.
Jamani tushikane kwa pamoja tuendeleze Taifa letu. Tuacheni ushabiki usio na maana wa kuleta siasa kwenye kazi. Taifa hili halitajengwa kwa migawanyiko ya kisiasa, tutapiga hatua na kusonga mbele tu kwa kushikana pamoja katika umoja wa kweli. Tukatae mabaya na yale mazuri ya kutuvusha mbele tuyashikilie kwa pamoja kama TAIFA tusonge mbele, tusibaguane kwa vyama, udini, ukanda au ukabila. Haya mambo yatalibomoa Taifa na hatutafika popote.
Chama changu ni UTANZANIA, kwa umoja tutafika.
Waende Mahakamani kama wasimamizi wa uchaguzi sasa ni makada wa CCM!Madai yao kuwa chaguzi yyt kuanzia sasa haitakuwa HURU wala ya HAKIWachukue hatua gani mkuu! Maana hawana uwezo wa kutengua uteuzi wao.
Hili namie nimelisikia mkuu.Hata Dr. Slaa na Prof. Lipumba hawakuhama vyama. Mnyika ni rafiki yangu. Ninachojua ni kwamba John Mnyika na Halima Mdee wanaenda ACT-Wazalendo ambapo anaenda kuwa GS. It's a matter of time.
Safi sana mkuu,umeeleza vizuri sana,.Kwa Taifa la TANZANIA lilipo sasa hv ushabiki wa vyama si tija kwa nchi tena. Viongozi wa focus kwenye matatizo ya wananchi na waache ushabiki uchwara wa vyama.