TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,868
- 5,753
Na Mumuulize kama bado anao ule ushahidi wa Ufisadi na wizi wa Lowassa na Rosterm au alishauweka kapuni?
Mnyika walimchagua wa nini, kuandamana? Acha kuwadanganya wana Kibamba.Shida yako unaishi ishi tu kama mende, kodi hulipi. Ungekuwa unalipa kodi ungeshajua nani unapaswa kumdai maji na umeme. Next time unaongea na mimi, anza na shikamoo
Yaani walipata kura kwa bahati tukajua watatuletea mabadiliko kumbe wao matatizo yetu ndo mitaji yao!! Leo Mhe Raisi anapiga Kazi wao wapo na mafisadi eti operation UKUTANa wa ukonga ndio kabisa,yye kazi yake kupiga picha za kugawa madawati basi,yaaani bora na CCM, hawa CDM ni janga kubwa sana.
Waitara hata sisi wauza mayai wenzake ametutelekeza kabisaaa. Mura Waithara thacha mbane wetho UkongaNa wa ukonga ndio kabisa,yye kazi yake kupiga picha za kugawa madawati basi,yaaani bora na CCM, hawa CDM ni janga kubwa sana.
Mkapa aliwauliza mabadiliko gani wanataka, ya wanaume kuzaa, wakashindwa kumjibu.Yaani walipata kura kwa bahati tukajua watatuletea mabadiliko kumbe wao matatizo yetu ndo mitaji yao!! Leo Mhe Raisi anapiga Kazi wao wapo na mafisadi eti operation UKUTA
Tata Madiba I salute you kumbe huyu Mnyika sio lolote wala chochote mpaka sasa hana cha kuonyesha tangible ambacho amefanya jimboni kwetu!! Mara kaingia uchizi mara ohoo nipo fresh siku zinakwenda hakuna anachokifanya.Bora haondoke tuuuMnyika walimchagua wa nini, kuandamana? Acha kuwadanganya wana Kibamba.
Mlimchagua wa nini?Mmepakana na Pwani lazima muwe na akili za vigodoro! Mnyika ana fungu la barabara au mnyika ni mwenye fedha za maji?
Akha! Kuna ambaye walimchagua na kodi wanampa, mbona unaniita muongo we vipi wewe? Au tunapodai risiti tukinunua biskuti ile pasenti fulani ni ya nini? Inaenda kwa Mnyika?Mnyika walimchagua wa nini, kuandamana? Acha kuwadanganya wana Kibamba.
Unaonekana una jazba sana...tuliza mwili roho ikae vyema, huu mchezo hauhitaji hasira.Mlimchagua wa nini?
Sijui lakini,but creativity yake ni ndgo sana,anyway alikuwa bench muda mrefu ngoja aweke mambo yake sawa,maana ni ndoto 2020 kurudi kwenye hiyo nafasi yakeWaitara hata sisi wauza mayai wenzake ametutelekeza kabisaaa. Mura Waithara thacha mbane wetho Ukonga
Mmejiandaa lakini kushikishwa UKUTA?Lumumba mbona hamuelewiki msemaji wenu ni nan? Kila mtu anakuja na lake, msichanganyikiwe mapema kias hicho, wakat tareh 1 ya mwez wa 9 bado
Nilimsikia siku moja nikacheka sana eti aliamua kugombea kwa sababu Slaa Aligombea na kwamba ana historia ya kumshinda tangu uongozi wa DARUSO. Hapo hapo nikaanza kujutia kura yangu.Sijui lakini,but creativity yake ni ndgo sana,anyway alikuwa bench muda mrefu ngoja aweke mambo yake sawa,maana ni ndoto 2020 kurudi kwenye hiyo nafasi yake
Tulikosea sana tena sio mara moja Bali mara mbili ila kwa sasa ndo bai baiNilimsikia siku moja nikacheka sana eti aliamua kugombea kwa sababu Slaa Aligombea na kwamba ana historia ya kumshinda tangu uongozi wa DARUSO. Hapo hapo nikaanza kujutia kura yangu.
UKUTA wakashike wao na wake zao!! Hakuna mtanzania Au mwananchi wa sasa anaweza akathubutu kushika UKUTA. Tumeamka na tunasonga mbele kwa mbeleHuo UKUTA wanaotaka kushikishwa wajiulize, miaka mingi wanafunzi wamekaa chini, lakini hawakushika UKUTA kuchangia madawati kwa watoto wetu, leo amekuja Magufuli miezi michache tu kila mwanafunzi sasa anakalia dawati! Badala wapambane kuongeza maendeleo majimboni mwao wanakazana kushikishwa UKUTA! Dah! Mazoea mengine ya ajabu sana!
Yaani natamani tarehe 1mwezi wa tisa watu wanaotaka kuwashisha watu UKUTA washikishwe wao!! Hapo ndo heshima itarudiWe Lofa kweli, sasa JPM anataka maendeleo, huyo Mnyika wako badala ya kurudi jimboni kwake na kushirikiana na watu wake kuainisha matatizo yao na kuyapeleka kwa JPM yeye anashikishwa UKUTA! Sasa nini faida yake?
Jibu swali Mnyika mlimchagua wa nini? Ni mwanamke tutasema ameolewa?Akha! Kuna ambaye walimchagua na kodi wanampa, mbona unaniita muongo we vipi wewe? Au tunapodai risiti tukinunua biskuti ile pasenti fulani ni ya nini? Inaenda kwa Mnyika?
Usijitoe fahamu bwana, we unajua nani anakusanya kodi, msaidie huyo mama kuelewa sio kumpotosha.
Mnyika huyu huyu alimchangia aliyetukana rais Arusha.Unaonekana una jazba sana...tuliza mwili roho ikae vyema, huu mchezo hauhitaji hasira.
Mimi navyofahamu, Kibamba haina sherehe za Uhuru wa Kibamba ambazo Mnyika anaweza kuamuru fedha za sherehe zijenge barabara. Mbona unajitia wehu wakati ninakufahamu u timamu mkuu?
Mnyika huyu huyu alimchangia aliyetukana rais Arusha.Shida yako unaishi ishi tu kama mende, kodi hulipi. Ungekuwa unalipa kodi ungeshajua nani unapaswa kumdai maji na umeme. Next time unaongea na mimi, anza na shikamoo