Mdodos
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 379
- 279
Agenda yenu ya kua Mnyika anahama Chama iliishia wapi? Just thinkingMweshimiwa sana John Mnyika napenda kukumbusha badala ya kushadadia operation UKUTA tafadhali njoo huku jimboni tufanye harakati za maendeleo!!
Tangu uchaguzi mpaka leo bado huku Mbezi Msumi maji ni shida, umeme imekuwa ndoto, barabara hajizachongwa tangu alipoondoka Yes.
Nakusii siasa za uanaharakati zimepitwa na wakati njoo huku tujenge UKUTA wa maendeleo.
