Mnyika: Sina mpango wa kuhama CHADEMA

Mnyika: Sina mpango wa kuhama CHADEMA

Mitoto ya Lumumba inapokosa cha muhimu ndivyo inavyokuwa!
lumumba.jpg
 
Jana G.Lema ameandika waraka kwa raisi,waraka ule leo unakutana nao kwenye magroup ya whatsup na social media nyingine kama face book nk huku habari za Lisu na zenyewe kwa wakati wake zimeendelea ku make head line.Kuniambia kwamba Lisu anasabisha habari za Mnyika isitufikie hueleweki.Tukio hilo lakufungua kesi dhidi ya serikali si tukio dogo kiasi cha kupuuzwa kiasi hicho
Kwahiyo unapinga kwamba sio kweli kwamba amefungua kesi na kazungumza na vyombo vya habari?
 
Jana G.Lema ameandika waraka kwa raisi,waraka ule leo unakutana nao kwenye magroup ya whatsup na social media nyingine kama face book nk huku habari za Lisu na zenyewe kwa wakati wake zimeendelea ku make head line.Kuniambia kwamba Lisu anasabisha habari za Mnyika isitufikie hueleweki.Tukio hilo lakufungua kesi dhidi ya serikali si tukio dogo kiasi cha kupuuzwa kiasi hicho

..sasa na wewe msaidie Mnyika.

..peleka habari za shauri alilofungua kwenye facebook na whatsapp.
 
Jana G.Lema ameandika waraka kwa raisi,waraka ule leo unakutana nao kwenye magroup ya whatsup na social media nyingine kama face book nk huku habari za Lisu na zenyewe kwa wakati wake zimeendelea ku make head line.Kuniambia kwamba Lisu anasabisha habari za Mnyika isitufikie hueleweki.Tukio hilo lakufungua kesi dhidi ya serikali si tukio dogo kiasi cha kupuuzwa kiasi hicho
Usipende kukurupuka:
MNYIKA:
 
Back
Top Bottom