Mnyika: Sina mpango wa kuhama CHADEMA

Hayo ndiyo matatizo hasa Ya Watanzania
Sio kuwaletea UKUTA
Ili iweje!!

HUO UKUTA SHIKA MWENYEWE
Nilishangazwa sana kuona mawaziri wakuu wastaafu wawili wanakubali kupitisha neno Kama Hilo "UKUTA" na tena eti wanautafuta URAIS, tumekwisha. CCM ilikua sahihi kabisa kuwakatilia mbali maana huku hatuna watu wenye maamuzi ya ajabu ajabu kama hayo ya UKUTA.
 
Hayo ndiyo matatizo hasa Ya Watanzania
Sio kuwaletea UKUTA
Ili iweje!!

HUO UKUTA SHIKA MWENYEWE
UKUTA ashike Mwenyekiti wa Chama jamani siasa za kupiga kelele eti... Zimepitwa na wakati kwanza 2020 Mnyika hata kwa dawa hapati kitu.
 
Kweli nimeanza kuamini kwamba hawa jamaa walitaka kuuza nchi!! kwa taharifa yenu hakuna mwananchi atakaye kuja kupoteza muda!! Watu tumefunguka mwacheni raisi wetu achanje mbuga
 
JPM alisema akiwa Rais kila kitu kitakuwa sawa, MKASHANGILIA. Mtafute umwambie, usimuonee Mnyika!
 
UKUTA ashike Mwenyekiti wa Chama jamani siasa za kupiga kelele eti... Zimepitwa na wakati kwanza 2020 Mnyika hata kwa dawa hapati kitu.
Hawa wamezoea ujinga wao
Kuwapelekea vijana
Ili wakasumbuke

WATANZANIA HAWATAKI UKUTA
HAWAPAKANI NA SOMALIA
 
Kwani mnyika ni dawasco?
 
Mmepakana na Pwani lazima muwe na akili za vigodoro! Mnyika ana fungu la barabara au mnyika ni mwenye fedha za maji?
Inaonekana una upeo finyu sana!! Sasa UKUTA wa nini? Aje afanye siasa hapa jimboni kwake la sivyo hakuna jinsi ni kupigwa tuuu
 
Na wa ukonga ndio kabisa,yye kazi yake kupiga picha za kugawa madawati basi,yaaani bora na CCM, hawa CDM ni janga kubwa sana.
 
Si mlisema kaitosa Chadema mmegeuza kibao tena
 
Hivi kwa nini mnajisifia ujinga?
Umeme = TANESCO
Maji = DAWASCO
Barabara = TANROADS na MANISPAA

Au hizi taasisi ziko chini yake? Msijitoe fahamu, jazeni fomu pelekeni DAWASCO
 
Lumumba mbona hamuelewiki msemaji wenu ni nan? Kila mtu anakuja na lake, msichanganyikiwe mapema kias hicho, wakat tareh 1 ya mwez wa 9 bado
 
Mkuu tuliochagua machadema tunajuta .

Hata huku Arusha tumeishia kuchukuliwa vibanda vyetu hakuna maendeleo yoyote.


Kumbe haya ndio mabadiliko mliyotuahidi??
 
Hivi kwa nini mnajisifia ujinga?
Umeme = TANESCO
Maji = DAWASCO
Barabara = TANROADS na MANISPAA

Au hizi taasisi ziko chini yake? Msijitoe fahamu, jazeni fomu pelekeni DAWASCO
Kwa hiyo mlihubiri mabadiliko kuwadanganya watanzania??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…