Mnyika: Sina mpango wa kuhama CHADEMA

Mnyika: Sina mpango wa kuhama CHADEMA

Ok!Kuimarika na wabunge 20+ wa Majimbo kati ya Majimbo zaidi ya 200+?Wakati watz waliisha ichoka CCM uchaguzi wa 2015 wakakosa uongozi thabiti wa wapinzani huku Bara?Mnadhani nafasi ya CCM goi goi kama ya JK itarudi tena?

Haya basi sawa
Vijana wa lumumba mna tabia sawa na za popo
 
Kinachotokea sasa hivi ni kumpigia simu Mnyika na kumuuliza...Mpiga simu..'baba tupo chini ya miguu yako tunaomba useme chochote ni nini kinaendelea?' Mnyika..'(kwa ukali) niseme kuhusu nini?'....Mpiga simu...' kuna uvumi kuwa unataka kuhama chama' Mnyika...'wakati ukifika nitaongea, naomba uniache' simu inakatika...Mpiga simu akitoka hapo anasema Mnyika amekanusha huo uvumi.
 
Vijana wa lumumba mna tabia sawa na za popo
Mm situmiki kwa mtu yyt yule,ni makosa kila mtu akipinga sera za MTUKUFU Mbowe kumhusisha na CCM
CHADEMA kifanye siasa za kisasa,waachane na kuvizia makosa ya CCM!Nilitarajia Lissu aamkie Court toka juzi kupinga nafasi za utumishi kama DAS na DED kugeuzwa za kisiasa

Lkn nyie mnafikiria kuzuaia mkutano wa CCM!Mkizuia mkutano huo kwani hawa makada DED akina Abubakar Assenga HAWATASIMAMIA uchaguzi wa 2020?Mtaiondoaje CCM madarakani kama makada wao ndiyo wasimamizi wa uchaguzi?

My
 
Chadema nzima hakuna wa kumwambia ukweli Mbowe! HAYUPO! Wasiotaka vurumai wameamua kukaa kimya.
Badala ya kuchukua hatua kuhusu hawa DED ambao sasa ni makada wao wanakazania tu na mkutano wa CCM
Ina maana hawajui kama hawa DED ndiyo wasimamizi wa chaguzi zinazokuja?
Hiki chama bure kabisa kwa kweli
 
Mm situmiki kwa mtu yyt yule,ni makosa kila mtu akipinga sera za MTUKUFU Mbowe kumhusisha na CCM
CHADEMA kifanye siasa za kisasa,waachane na kuvizia makosa ya CCM!Nilitarajia Lissu aamkie Court toka juzi kupinga nafasi za utumishi kama DAS na DED kugeuzwa za kisiasa

Lkn nyie mnafikiria kuzuaia mkutano wa CCM!Mkizuia mkutano huo kwani hawa makada DED akina Abubakar Assenga HAWATASIMAMIA uchaguzi wa 2020?Mtaiondoaje CCM madarakani kama makada wao ndiyo wasimamizi wa uchaguzi?

My
Haya nenda lumumba ukachukue buku zako 2
 
Wahi ukachukue buku 2 lumumba
Siishi Tanzania Mmawia
Siyo kila anayeongea against CHADEMA anatumiwa na CCM
Onana na Maxi Mello au Figanigga ambao ni viongozi hapa hao tumewahi onana uso kkwa uso ktk harakati za maisha wakuambie ukweli kuhusu mm kuliko kubahatisha tu

CHADEMA ilikua chama changu lkn sasa sipo huko,kimekua chama uchwara
 
Mipango ya Hima empire hiyo. Labda kama maCCM wanataka kumfilikunjombe
 
CCM msiwe kama shetani anapofurahia MTU kuanguka kwani ndio lengo lake kuharibu, wakihama au wasipohama mnafaidika mini? Hawakuzaliwa na vyama, jengeni chama chenu kilichojaa uozo,nasubiri Magufuli apewe jino akisafishe kiwe chama chenye tija na hadhi,
 
t

Ni bora Mhs Mnyika amejibu mwenyewe maana hawa Lumumba wasumbufu sana!!
Kabla ya kushangilia naomba tufanye tafakuri nzuri. Sababu kubwa aliyodai Mnyika ni kuwa Lowassa ni fisadi ni yule yule waliomwandama Chadema2008 hajabadilika. Na yeye Mnyika hajabadilika angependa Lowassa ashitakiwe wa keanza Mhakama ya Mafisadi. Je sasa kayakubali? Lowassa kabadilika? Mnyika kabadilika? Ni mambi ya msingi haya tuacheni blablabla.
 
Siishi Tanzania Mmawia
Siyo kila anayeongea against CHADEMA anatumiwa na CCM
Onana na Maxi Mello au Figanigga ambao ni viongozi hapa hao tumewahi onana uso kkwa uso ktk harakati za maisha wakuambie ukweli kuhusu mm kuliko kubahatisha tu

CHADEMA ilikua chama changu lkn sasa sipo huko,kimekua chama uchwara
Kwa nini usinyamaze tu?
 
Mwanaume akikukataa muache aende zake ccm, kwa nini ulazimishe ndoa?

Mnyika amekupiga ccm Ngumi za USO ubungo, amekupiga tena Kibamba mpaka minundu bado unampenda tuu kwa nini?
 
QUOTE="Mzee, post: 16799648, member: 36665"]Hata Dr. Slaa alianza hivi hivi[/QUOTE]
Unajua chama ni taasisi akiodoka mtu chama kinaendelea kuwepo,ndo maana Nyerere aliondoka lakini chama kipo,na mtu huwezi kuwa maalufu kuliko chama,kama unabisha uliza Wasira,Kapuya,wenje,Shibuda n.k wako wapi?kama Mnyika anataka kuondoka aende,Dr.Slaa aliondo lakini CCM haikupata Mbunge hata diwani mmoja kwenye jimbo la karatu.
 
Siishi Tanzania Mmawia
Siyo kila anayeongea against CHADEMA anatumiwa na CCM
Onana na Maxi Mello au Figanigga ambao ni viongozi hapa hao tumewahi onana uso kkwa uso ktk harakati za maisha wakuambie ukweli kuhusu mm kuliko kubahatisha tu

CHADEMA ilikua chama changu lkn sasa sipo huko,kimekua chama uchwara
Haya kachukue buku zako 2 utumie wikiendi hii
 
Back
Top Bottom