mmbangifingi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 2,839
- 567
Na ndiyo maana alijirudi na kujifanya amewasamehe. Hivi ni kabila gani huyu? mbona wagogo hawako hivyo? Shame on him!!!!!!
Ndugai sio mgogo
Na ndiyo maana alijirudi na kujifanya amewasamehe. Hivi ni kabila gani huyu? mbona wagogo hawako hivyo? Shame on him!!!!!!
Mi sijui nisemeje?sio CHADEMA wala CCM,wote hawana nidham,hakuna anaye msikiliza mwenzie,kila chama kinatafuta kujifaharisha sio kwa faida ya wana nchi.Nadhani kama sikuile ya mgogoro uliangalia bunge uliwasikia Lukuvi na Lissu,mi nilipata jibu siku hiyo na kuvidharau vyama vyote viwili.
Mnyika naona sasa na yeye anaelekea kukosa ya kuzungumza, "kutumwa" nayo ndio hoja ya kuita press na kuwaeleza, hili neno ni utamaduni wetu na umeshazoeleka, jambo likifanyika utasikia "umetumwa nini" huo ni utamaduni wa kimazoea , na si hoja ya kujengeka, engetuambia kama ni sahihi alichofanya sugu pia..
Hiyo ndio ccm kwa nguvu hamtoweza kuitoa...ila kwa kutumia akili mtaweza, wapinzani undeni chama kimoja ili kuingoa ccm kinyume na hapo mtaishia kuburuzwa kila siku mimi yangu macho
Mnyika naona sasa na yeye anaelekea kukosa ya kuzungumza, "kutumwa" nayo ndio hoja ya kuita press na kuwaeleza, hili neno ni utamaduni wetu na umeshazoeleka, jambo likifanyika utasikia "umetumwa nini" huo ni utamaduni wa kimazoea , na si hoja ya kujengeka, engetuambia kama ni sahihi alichofanya sugu pia..
hapa kwetu tz ukiona mtu anafanya mambo kiendawazimu basi usibishane naye ujue kuna namna. Huu ni mpango mzima wa ccm kubaka mchakato wa katiba ili katiba ibaki ileile. Serkali 2 na madc waendelee kuwepo na mambo yote mabaya yanayopigiwa kelele na wapenda m,aendeleo.ubabeubabe mtake msitake ccm juu juu zaidi hiyo syllabus inayopigiwa chapuomh mnyika ktk kipindi cha "tuongee asubuhi" ndani ya startv ameeleza kuwa naibu spika mh ndugai aliagizwa na nec kihakikisha matakwa ya ccm yanapita ktk katiba, hvyo alichokua anafanya bungeni juzi ni kutekeleza maagizo.
Pia kasema askari walioingia kuleta fujo bungeni waliandaliwa kabisa na wengine hata si askari wa pale bungeni na ana ushahidi akitakiwa kuutoa maana anawafahamu kwa sura na majina (akimaanisha ilipangwa mapema liwalo na liwe lkn matakwa ya wapangaji yatimie.
Amezungumza mengi machache ya hayo ni kuonyesha jinsi gani zanzibar hawajashirikishwa (na yeyote anaesema wameshirikishwa na mwongo), upinzani walichokuwa wanakifanya ni "filibustering".
Pia akamalizia kwa kusema hatua inayofuata ni kurudi kwa wananchi wao ndio waamue muafaka wa katiba mpya "nguvu ya umma"
amri batili sio lazima kuitii mkuu!Myika anatakiwa ajubu hili swali kwanza, jana ,Leo na hata kesho, swali Mh Mbowe wakati alipoamriwa na Naibu spika akae.chini kwanza alitii hio amri? au alikaidi na kama hakufanya hivyo tafakari ninani chanzo cha vurugu hz bungeni? na Mh sugu alikuwa sahihii kuzui askari wa bunge kutekeleza maagizo ya Naibu spika? Naomba jibu na sy maelezo.
Afadhali kama siyo mgogo, maana ningeshangaa sana.Ndugai sio mgogo
Ex Tanzania simper aliquid novi
Mmmmm, kumbeeeee. DuuhNyumba ndogo inampelekesha huyo Ndugai mpaka anasahau majukumu yao
Mmmmm, kumbeeeee. Duuh
Myika anatakiwa ajubu hili swali kwanza, jana ,Leo na hata kesho, swali Mh Mbowe wakati alipoamriwa na Naibu spika akae.chini kwanza alitii hio amri? au alikaidi na kama hakufanya hivyo tafakari ninani chanzo cha vurugu hz bungeni? na Mh sugu alikuwa sahihii kuzui askari wa bunge kutekeleza maagizo ya Naibu spika? Naomba jibu na sy maelezo.