Mnyika: Ndugai alitumwa na akajiandaa

Mnyika: Ndugai alitumwa na akajiandaa

Ndungai kakomaa .kisiyasa mnyinka ndiyo anaanza.baada ya miaka 3 ijayo atakuwa vizuri kidogo.kwa sasa bado
 
historia itamhukumu ndugai.

Nina amini kuna vifungu vya sheria kwenye Katiba na Kanunu za Bunge zinazoweza kutumika KUMNG'OA tokuwa na oka kiti cha Unaibu wa Spika kwa kura ya kutokuwa na imani naye.

Wabunge wote wa KUB waliotoka nje ya Ukumbi kuonyesha kutokubaliana na maamuzi ya Ndugai Mimi husema na ninasema tena JOB NDUGAI hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi! Ndugai ni Janga la Kitaifa na lazima aondoshwe kwenye kiti hicho cha Naibu wa Spika.
 
Back
Top Bottom