Mnyika: Ndugai alitumwa na akajiandaa

Mnyika: Ndugai alitumwa na akajiandaa

Hivi hii nguvu wanayoitumia CCM ni kwa ajili ya serikali mbili tu au kuna kitu kingine wanataka kuficha ndani ya huu mchakato wa katiba?? Mimi naisubiri kwa hamu sana KURA YA MAONI juu ya katiba, kamwe hatutakubali CCM watupitishie katiba yao kuwa yetu.
 
Mnyika naona sasa na yeye anaelekea kukosa ya kuzungumza, "kutumwa" nayo ndio hoja ya kuita press na kuwaeleza, hili neno ni utamaduni wetu na umeshazoeleka, jambo likifanyika utasikia "umetumwa nini" huo ni utamaduni wa kimazoea , na si hoja ya kujengeka, engetuambia kama ni sahihi alichofanya sugu pia..

Hata memo uchochezi limetungwa na linatumika sana na serikali kufunga midomo na fikra za watu. Km hujui serikali hupanga kila jambo unaloliona. Hawafanyi kwa bahati mbaya.
 
Tatizo la JJ Mnyika kishaanza kuchanganyikiwa!ndiyo maana hilo neno wakati anatamka hilo neno alikuw halitamki sawasawa.
 
Mnyika naona sasa na yeye anaelekea kukosa ya kuzungumza, "kutumwa" nayo ndio hoja ya kuita press na kuwaeleza, hili neno ni utamaduni wetu na umeshazoeleka, jambo likifanyika utasikia "umetumwa nini" huo ni utamaduni wa kimazoea , na si hoja ya kujengeka, engetuambia kama ni sahihi alichofanya sugu pia..

nadhani unamatatizo, kama kitu kimefanyika na kimethibitishwa ulitaka asiongee au apindishe ukweli?
 
Mimi niliangalia mazingira yote na ni mwana CCM damu damu! Ndugai alifuata kanuni zote! Hana kosa!
 
:llama::flame::msela: Ccm kiukweli inechoka ni wabishi sana hata kama wanauona ukweli lazima wapindisha, Kwa sekeseke la bungeni kuhusu mswada ulitakiwa kujadiliwa hakukuwa na sababu yakuepingana mapaka mapigano kwani jambo liko wazi kuwa wanzaibari hawajashirikishwa. na huo ndio mwanzo wa machafuko
 
Hiyo ndio ccm kwa nguvu hamtoweza kuitoa...ila kwa kutumia akili mtaweza, wapinzani undeni chama kimoja ili kuingoa ccm kinyume na hapo mtaishia kuburuzwa kila siku mimi yangu macho
Mkuu unasahau kuna vyama vya upinzani ambavyo ni matawi ya ccm? I am very skeptical kwenye kuungana,labda waform alliance ambayo kama zile za kenya... eg jubilee etc...
 
Ndugai ni kama Robot tu,kuna mambo mengine mtu hawezi kukubali kujiaibisha eti kisa katumwa na bwana wake,kama pale ndugai amejivua nguo kabisa,ni mtu asiye na ubongo tu ndiye angeweza kufanya upuuzi kama ule.

Unajua mkuu, ukiona mtu anatumwa na kutekeleza kila jambo bila kujiuliza hata kama jamii itajenga picha mbaya mbele yake jua huyo mtu ana matatizo si katika utendaji wake tu bali hata nyumbani kwake na familia yake. A smart person always reasons before he does what he has been sent. Lakini huyu jamaa hajaanza kuonekana leo katika utendaji wake m'bovu ndani ya bunge.
 
Hivi Ndugai hawezi kuondolewa katika kile kiti? Wananchi, hususan wapinzani wafanye nini ili kutoa aibu ile ya Ndugai pale mbele?
 
Siku nyingine CDM waoneshe weledi ikiwa wanajua kuwa kuna mambo yamepangwa ili yaende basi wawe makini kukwepa mitego na sio kuingia mtegoni kisha kuja kusema kuwa waliishajua kuhusu huo mtego au mpango. wapaze sauti kabla ya kunaswa na mtego.

Wakisema kabla haijatokea mnawaambia wanatafuta sympathy, sasa sijui wafanyeje!
 
Ndugai ni kama Robot tu,kuna mambo mengine mtu hawezi kukubali kujiaibisha eti kisa katumwa na bwana wake,kama pale ndugai amejivua nguo kabisa,ni mtu asiye na ubongo tu ndiye angeweza kufanya upuuzi kama ule.

Hata kama alitumwa there was a better way ya kufanya. Yaani alichofanya pale ni sawasawa na kumwambia mtoto fulani akija mwambie sipo. Yule fulani akija hule mtoto humwambia baba kasema nikuambie hayupo. Nadhani Ngugai aliambiwa kama akimtoa Mbowe nje upinzani wote wangetoka. Sasa pasipo kutafuta sababu nzuri au muda mwafaka akafanya ule ubabe. Mtu mzima hovyo.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mnyika naona sasa na yeye anaelekea kukosa ya kuzungumza, "kutumwa" nayo ndio hoja ya kuita press na kuwaeleza, hili neno ni utamaduni wetu na umeshazoeleka, jambo likifanyika utasikia "umetumwa nini" huo ni utamaduni wa kimazoea , na si hoja ya kujengeka, engetuambia kama ni sahihi alichofanya sugu pia..

Ubongo wako umepata stroke ndiyo maana huwezi tena kuwaza.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Na ndiyo maana alijirudi na kujifanya amewasamehe. Hivi ni kabila gani huyu? mbona wagogo hawako hivyo? Shame on him!!!!!!
 
the only option unganeni
gawaneni majimbo ya uchaguzi, pigeni kampeni kwa pamoja
nina uhakika wabunge wa Upinzani mtakuwa wengi zaidi na mtakingoa chama cha mafisadi.
Chadema hadi saa wana uhakika wa kuzoa kila jimbo watakalomsimamisha mgombea wao
undeni mseto wenu wapinzani. simple
waungane wakati wote wanajaa ya madaraka.
 
Back
Top Bottom