MNYIKA ndiye mpinzani namba 1 tishio kwa CCM na Serikali yake

January Makamba namkubali sana nadhani ndiyo maana alipita bila kupingwa kwa kweli anaweza ila chama sasa dah !!!.......

Kupita bila kupingwa sio kipimo cha kukubalika na wapiga kura wake. Sometimes ni mizengwe tu inayofanywa na wahusika. Ndio maana wengi wao huwa wanakimbilia kuweka mapingamizi haraka haraka. Kama anakubalika na wapiga kura wake, kwanini asiingie kwenye kiringe ili aonyesha namna anavyokubalika?

Hata Masha alipita bila kupingwa na akatamba kwamba ni dalili kuwa anakubalika na wapiga kura wa jimboni kwake lakini kibao kilipogeuzwa mambo yakaharibika.
 
Mimi shabiki wa The Blues. Namfananisha Johm Mnyika na kiungo mkabaji Orio Romeu Vidal wa Chelsea.
 
Nimemfahamu vizuri Mnyika aliposimamia uchaguzi mkuu wa vijana BAVICHA mwezi mei mwaka huu. huyu jamaa anatisha sio siri.
 
Acheni hizo njama za kutaka kuwagawa wabunge wa CHADEMA. Waheshimiwa kuweni macho na njama hizo ili msije ingia mtegoni. Mimi nachojua wabunge wote ni CHADEMA ni makini sana ndio sifa kuu iliyoko kwenye chama hicho. Hayo mengine ni njia zile zile za wakoloni kuwagawa na kuwafarakanisha ili wao wapate mwanya wa kuendeleza ufisadi wao. Tumeshtukia labda mjaribu mbinu nyingine
 
Hawezi kumzidi Livingstone Lusinde, Lusinde ni jembe la uhakika namuaminia sana, na ni yeye Lusinde ndio ataibuka kidedea kama Mbunge bora kijana 2011.

Ha ha..ati mbunge bora kijana????
Lusinde amekuwaje tena kijana na alikuwa akijaribu kugombea tokea pale kawe tangu mwaka 2000 bila mafanikio!?anyways.,ni mzungumzaji mzuri ila ubunge ni vitendo..

mnyika ametoka bungeni juzi na jana moja kwa moja amesign in kwenye ofisi ya mbunge ubungo tayari kuanza kushughulikia kero za wananchi.waulize wananchi wa ubungo wakueleze alivyo karibu nao..mnyika ni nyerere mdogo.
 
Mnyika might be that aggressive and is indeed deserving the compliment for the character he has displayed so far. His sole but serious weakness however is his inability to stand against the party chairman and instead incontestingly buttresses each move broached by him.

Deliberately or accidentally, Mnyika is finding himself held captive by Mbowe simply because the latter played gigantic role in terms of financial wherewithal to assist the former sweep last election.

No wonder, Tanzanian multipartism is willy-nilly marred by domination of antagonistic camps within political parties themselves. Taking CHADEMA for instance, you have in it a selection of politicians who would support the Chairman at all cost while there also exist a group of a few MPs who can dare to question what comes out of Mbowe and have a chutzpah to dispute it.

So he needs to show us how he can "STAND" against his chairman,right??on what issues exactly???just for the sake of arguing like most people do??

Jesus said a house divided against its own can not stand.One family member does not stand against another for no reason,just so they can demonstrate bravado.its madness.

Its rather funny that some people believe that over-talking and being argumentative demonstrates confidence..I believe this thinking lacks intellectual maturity and rather is an obvious sign of hidden insecurity.
 
So he needs to show us how he can "STAND" against his chairman,right??on what issues exactly???just for the sake of arguing like most people do??

Jesus said a house divided against its own can not stand.One family member does not stand against another for no reason,just so they can demonstrate bravado.its madness.

Its rather funny that some people believe that over-talking and being argumentative demonstrates confidence..I believe this thinking lacks intellectual maturity and rather is an obvious sign of hidden insecurity.
Right.

Allowances

Federation

Investment

Stupid walk outs.

Oooh! I forgot,.......... Centrist ideology (it's kinda irresponsible, ya think?).
 
Back
Top Bottom