Mnyika mchapakazi kweli - Magufuli

hahaaa mnyika mungu kamnyima mwili tu ila ana akili sana yule kijana....ungekuwa hujaoa ningekupa mke wangu mama gaude zawadi...

mkeo analipa? Haujamharibu?

Akili mbovu sana hii, kama vipi nenda wewe.
 
hahaaa mnyika mungu kamnyima mwili tu ila ana akili sana yule kijana....ungekuwa hujaoa ningekupa mke wangu mama gaude zawadi...

Ndugu yangu, sema tu ukweli kwamba umechoka mkeo unatafuta pa kumtupia. Tunajua wengi waliooa wanataka kutoka na wasiooa wanataka kuingia. Jikaze tu mwanaume, mke ndo wako huyo na ndo zigo lako kaka.
 
Ndugu yangu, sema tu ukweli kwamba umechoka mkeo unatafuta pa kumtupia. Tunajua wengi waliooa wanataka kutoka na wasiooa wanataka kuingia. Jikaze tu mwanaume, mke ndo wako huyo na ndo zigo lako kaka.

Jamani mwenzenu, in good faith, kaamua kumtunuku mnyika mke wake, nyie mnalalamika. Au hamjui kizuri kula na nduguyo?
 
Mbona magufuli anajichanganganya? Tushike kauli ipi? aliyom-diss kipindi kile cha upandishaji wa vivuko au hii?
 
Waziri wa Ujenzi Dr John Magufuli amemfagilia mbunge Ubungo kuwa ni mchapakazi makini anayejua wajibu wake. Magufuli alimwagia sifa hizo wakati akizindua kituo cha mabasi cha Mbezi Mwisho, Magufuli alisema kwamba ni lazima aseme ukweli na kumfagilia wazi Mnyika ingawa hayuko CCM hali iliyofanya wananchi washangilie.

Mara baada ya mkutano huo wananchi waliohudhuria uzinduzi huo walianza kusukuma gari ya mbunge na kumlazimisha dereva asiwashe gari. Msafara huo uliandelea katika barabara ya Morogoro mpaka polisi walipotaka gari liwashwe na kuondoka katika eneo hilo.

Serayamajimbo

Kuna mtu ameulizia picha, nimeiona moja kwenye gazeti la Mtanzania. Nyingine labda vijana waliokuwepo pale watutumie hapa JF maana nilishuhudia wakizipiga.

Serayamajimbo
 
Back
Top Bottom