Mnyika mchapakazi kweli - Magufuli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnyika mchapakazi kweli - Magufuli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bambanza jr., Mar 5, 2012.

 1. Bambanza jr.

  Bambanza jr. JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika shughuli ya ufunguzi wa kituo cha mabasi hapa mbez, waziri Magufuli aliamua kumsifia mbunge wa jimbo la ubungo Mh. John Mnyika kuwa ni mchapakazi na anajituma vizuri, pamoja na ilo lkn kasema anafanya kaz chini ya serikali ya ccm!

  Pamoja na kuweza kuwa makini katika kushika urefu wa barabara, gharama zake na maeneo yake lkn mh. Maghufuli alikwama kujibu swali aliloulizwa na mchungaji mmoja kuhusu upanuzi wa barabara kutoka kibaha mpaka kariakoo!
   
 2. S

  Serayamajimbo Senior Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Apr 15, 2009
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waziri wa Ujenzi Dr John Magufuli amemfagilia mbunge Ubungo kuwa ni mchapakazi makini anayejua wajibu wake. Magufuli alimwagia sifa hizo wakati akizindua kituo cha mabasi cha Mbezi Mwisho, Magufuli alisema kwamba ni lazima aseme ukweli na kumfagilia wazi Mnyika ingawa hayuko CCM hali iliyofanya wananchi washangilie.

  Mara baada ya mkutano huo wananchi waliohudhuria uzinduzi huo walianza kusukuma gari ya mbunge na kumlazimisha dereva asiwashe gari. Msafara huo uliandelea katika barabara ya Morogoro mpaka polisi walipotaka gari liwashwe na kuondoka katika eneo hilo.

  Serayamajimbo
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,484
  Likes Received: 5,868
  Trophy Points: 280
  Polisi wetu bwana......mimi ningewaambia mafuta yameisha
   
 4. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Oh amepigwa mayai, or hawamtaki, ah watu bwana! Ndo huyo anasukumwa na wapiga kura wake!
   
 5. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mjanja sana huyu! Kaona eneo lenyewe hilo, angesema vinginevyo yangekuwa makubwa!
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaaa mnyika mungu kamnyima mwili tu ila ana akili sana yule kijana....ungekuwa hujaoa ningekupa mke wangu mama gaude zawadi...
   
 7. P

  Pelege Senior Member

  #7
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mnyika ni jembe letu kwa kweli,hapa Ubungo tumepata hakika kiongozi! Viva Mnyika.
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,949
  Trophy Points: 280
 9. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #9
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  Tehe tehe tehe:biggrin: kwani Mwanyika alipokuja hapo alitegemea kwamba atasukumwa? Obviously, polisi walijua ana mafuta ya kurudia. wangeweza kumwambia dereva aweke switch on na fuel gauge ingeonyesha!
   
 10. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #10
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  we noma hadi mkeo unamtoa zawadi akawe kiburudisho cha mbunge!......... bado hajaoa!
   
 11. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #11
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ...hahaaaa Mpe tu angalau mara moja.
   
 12. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #12
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  tuwekee picha tuone walivyo lisukuma.
   
 13. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #13
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
   
 14. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #14
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,500
  Likes Received: 4,769
  Trophy Points: 280
  Sina Ugomvi na JM but Ningepata muunganiko wa misifa aliyomwaga Magufuli vs Ujenzi wa kituo cha mabasi Mbezi, maana nijuavyo kituo kilianza kabla ya Mnyika kuwa Mbunge.....nashawishika kuamini kwamba huenda waziri kakosa cha kuongea hapo.................
   
 15. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #15
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mnyika yuko smart sana mkuu,hata maisha yake ya mtaani ni ya ki maadili,hana skendo ya ulevi wala ya mademu!iyeye ni kusoma vitabu na kutekeleza wajibu wake wa kibunge tu!
   
 16. Mr.Professional

  Mr.Professional JF-Expert Member

  #16
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,602
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  viva magufuli kwa kula matapishi ulituambia stand ya mbezi haijakidhi viwango na ipo katika eneo la barabara then leo umezindua tena kwa kumfagilia jembe la ukweli JJ Mnyika.
   
 17. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #17
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kikubwa tunamshukuru Magufuli kwa kukifungua hicho kituo huenda sasa foleni ya magari pale Mbezi mwisho itapungua!
   
 18. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #18
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Akili mbovu sana.

  Samahani
   
 19. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #19
  Mar 5, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,785
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  foleni haitisha kwasababu hatuna mazoea ya kusubiria magari vituoni. Mfano mzuri angalia kituo cha Mwenge,baadhi abiria wanaona uvivu kuingia kituoni,wanasubiri magari barabarani na madereva wa daladala wanashusha na kupandisha abiria nje ya kituo. Matokeo ni foleni kila siku pale Mwenge. Mtanzania aliyeishi Dsm enzi ya UDA kabla ya daladala anakumbuka jinsi gani vituo vilikua vinaheshimika. Hapakuepo uhuni tunaona hivi sasa.
   
 20. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #20
  Mar 5, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Acha ujinga wewe
   
Loading...