Kimey
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 4,117
- 833
Utapoteza tu muda mkuu kubishana na huyu! Hakuna jema duniani hapa!cAN YOU ANSWER ME PLS...Who do you think would do better by then? And why wasnt he choosen? Be fairby answering that...
Utapoteza tu muda mkuu kubishana na huyu! Hakuna jema duniani hapa!cAN YOU ANSWER ME PLS...Who do you think would do better by then? And why wasnt he choosen? Be fairby answering that...
Who will do better by then: AnyonecAN YOU ANSWER ME PLS...Who do you think would do better by then? And why wasnt he choosen? Be fairby answering that...
Who will do better by then: Anyone
Why wasn't he chosen: Uimla na Udikteta wake
By the way he was good president from 1961-1971..thereafter akawa mungu-mtu mpaka leo..sasa nashangaa kumbe hata kina mnyika ni wale waleeeeeeeeeeeeeee na mambo yale yaleeeeeeeee...kusifia waliofeleiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
John Mnyika na Halima Mdee wanatarajiwa kuongoza maandamano ya amani kesho tarehe 14 Oktoba 2009 kwa ajili ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kuanzia saa 2 asubuhi yatakayoanzia Tanganyika Packers - Kawe na kupitia maeneo aliyofanyia kazi Mwalimu (Mikocheni, Msasani, Kinondoni, Magomeni, Manzese mpaka Ubungo.
Polisi wametoa kibali kwa ajili ya maandamano haya jioni ya leo na hivyo basi John Mnyika anaomba watanzania watakaopata fursa ya kuungana nao wasisite kushirikiana nao hiyo kesho.
Ni taarifa iliyotufikia toka kwa Mnyika (member wa JF) dakika chache zilizopita
Na kwa vile jana ni siku ya maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Nyerere Day, tuiadhimishe kwa kuwapongeze viongozi wetu wote wanao muenzi Nyerere kwa kumuishi kwa maneno na matendo, Rais Magufuli ni mmoja wao. Miradi ya Umeme wa Stigler Gorge na kuhamia Dodoma ni kutimiza ndoto za Nyerere.John Mnyika na Halima Mdee wanatarajiwa kuongoza maandamano ya amani kesho tarehe 14 Oktoba 2009 kwa ajili ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere
Uzuri tushakufahamu,AKILI HUNA.!Na kwa vile jana ni siku ya maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Nyerere Day, tuiadhimishe kwa kuwapongeze viongozi wetu wote wanao muenzi Nyerere kwa kumuishi kwa maneno na matendo, Rais Magufuli ni mmoja wao. Miradi ya Umeme wa Stigler Gorge na kuhamia Dodoma ni kutimiza ndoto za Nyerere.
Ili kumuenzi Mwalimu Nyerere kiukweli ukweli, nina kaswali kadogo, kitendo cha Rais Magufuli cha kuendelea kumuishi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kwa maneno na matendo, kwa vile Nyerere alitawala Tanzania kwa kipindi cha miaka 23, na Magufuli anafana na Nyerere, jee unaonaje pia katika kutawala, ili Magufuli azidi zaidi kufanana na Nyerere, mnaonaje tukimpa Magufuli muda kama wa Nyerere au kwa kukaribiana tu japo vipindi viwili vya miaka 10/10?.
Ili kumuenzi Mwalimu Nyerere kwa dhati, naomba kutumia fursa hii, kuwahimiza wale wote wanaomkubali Nyerere, tarehe 28 October, Watanzania tusifanye makosa, ni asubuhi na mapema, kuwahi katika kituo cha kupigia kura, kumchagua Nyerere wa pili, na ukifika, kazi ni moja tuu,
unachukua...,
unaweka...
malizia...
Happy Nyerere Day.
Paskali
pascal unajua kukeraNa kwa vile jana ni siku ya maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Nyerere Day, tuiadhimishe kwa kuwapongeze viongozi wetu wote wanao muenzi Nyerere kwa kumuishi kwa maneno na matendo, Rais Magufuli ni mmoja wao. Miradi ya Umeme wa Stigler Gorge na kuhamia Dodoma ni kutimiza ndoto za Nyerere.
Ili kumuenzi Mwalimu Nyerere kiukweli ukweli, nina kaswali kadogo, kitendo cha Rais Magufuli cha kuendelea kumuishi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kwa maneno na matendo, kwa vile Nyerere alitawala Tanzania kwa kipindi cha miaka 23, na Magufuli anafana na Nyerere, jee unaonaje pia katika kutawala, ili Magufuli azidi zaidi kufanana na Nyerere, mnaonaje tukimpa Magufuli muda kama wa Nyerere au kwa kukaribiana tu japo vipindi viwili vya miaka 10/10?.
Ili kumuenzi Mwalimu Nyerere kwa dhati, naomba kutumia fursa hii, kuwahimiza wale wote wanaomkubali Nyerere, tarehe 28 October, Watanzania tusifanye makosa, ni asubuhi na mapema, kuwahi katika kituo cha kupigia kura, kumchagua Nyerere wa pili, na ukifika, kazi ni moja tuu,
unachukua...,
unaweka...
malizia...
Happy Nyerere Day.
Paskali
Happy Nyerere Day ya enzi hizo!.John Mnyika na Halima Mdee wanatarajiwa kuongoza maandamano ya amani kesho tarehe 14 Oktoba 2009 kwa ajili ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kuanzia saa 2 asubuhi yatakayoanzia Tanganyika Packers - Kawe na kupitia maeneo aliyofanyia kazi Mwalimu (Mikocheni, Msasani, Kinondoni, Magomeni, Manzese mpaka Ubungo.
Polisi wametoa kibali kwa ajili ya maandamano haya jioni ya leo na hivyo basi John Mnyika anaomba watanzania watakaopata fursa ya kuungana nao wasisite kushirikiana nao hiyo kesho.
Ni taarifa iliyotufikia toka kwa Mnyika (member wa JF) dakika chache zilizopita
Pole sana !pascal unajua kukera
miaka ishirini....
areyouseriously?
NiliyamissNatumai Pasco atakuwepo huko leo kutupatia Live ya maandamano hayo...
Duh...!.Uzuri tushakufahamu,AKILI HUNA.!