Mkuu Raimundo ni kweli jimbo la kibamba mnyika hana habari nalo kabisa,diwani Ernest Mgawe ndo amekuwa kama mbunge wetu,wamama walilalamika sana kuhusu soko,kibamba hakuna soko,ni magenge tu,bidhaa zinatoka mikoani zinapelekwa mabibo,halafu zinafuatwa mabibo zinarudishwa magengeni kibamba kwa bei ya juu,madiwani wapo mbunge kawa bubu.najuta kui sihi familia yangu iwapigie kura.japo mama mkandala nae hafai kabisa.mnyika badilika,wapiga kura wako warudishe imani na wewe,unawakatisha tamaa sana.barabara ya kibwegere imekuwa mahandaki,soko hakuna,mbunge kaingia mitini.
mkuu mbunge anatuwakilisha bungeni na ukiwa unafuatilia aliwahi kuuliiza kuhusu maji na pia barabara ya mbezi - kifuru, Kwa diwani yeye anatuwakilisha pale manispaa na utakumbuka meya alisema waandike barua kuhitaji catapilar kwa ajili ya kujenga barabara.Tunaongelea watu tofauti.
Anyway hope atapata ujumbe.
Mbowe alishasema siasa ni mchezo wa kubadilisha gia angani. Kwa iyo inawezekana akawa ashabadilisha gia bila watu.Mimi ni Mkazi wa jimbo la Kibamba, nilimpigia kura yangu Mh Mnyika bila hata ya kuzisikia sera zake, ni moja ya wabunge vijana niliokuwa nina imani nao sana sana hasa kutokana na michango yake bungeni (Bunge lililopita), harakazi zake za kisiasa akishirikiana na wenzake kipindi hicho kabla Chadema haijamkaribisha Lowassa.
Kiukweli toka Bunge hili jipya lilivyoanza kumekuwa na tetesi mbali mbali juu mwenendo wa Mh Mnyika kisiasa, wengine wakisema hashirikiani na wenzake kwa sababu hajamkubali EL, anataka kujitoa kwenye chama etc etc, huku yeye akiwa kimya.
Sasa basi toka tumemchagua Mnyika, hajawahi hata siku moja kuja jimboni either kutoa shukran kwa kura alizopewa, au hata kuhudhuria vikao vya madiwani, kufanya mikutano ya kisiasa jimboni, kufanya mikutano na wananchi wakamweleza kero zao ili angalau hata akazisemee Bungeni.
Mnyika ni wakati sasa wa kubadilika kama kweli anataka maisha yake ya kisiasa yaendelee, au ampishe mtu mwingine anayetaka kuwawakilisha wananchi Bungeni.
Mnyika popote ulipo, fanya shughuli za chama lakini kumbuka wananchi waliokuchagua ukawawakilishe, haututendei haki, sitaki kujuta kwa kutompa Dr Fenella Mkangara (CCM), lakini ninaamini kwa mwenendo huu watu tutaanza kujiuliza mara mbili mbili juu ya kama tulipoteza kura au la!
we ni kati ya hao niliotaja hapo juu,ukipigwa na jiwe gizani lazma ushtuke,hakuna aliye mkamilifu kama hutaki kusahihishwa we ni sawa na jiwe,tunaomtakia kheri Mnyika tunamshauri si kufanya unafiki kama weweWewe unaewasema wenzio una mchango gani katika taifa hili au ni betri inayohitaji kuchajiwa na kuwekwa juani?
Mimi ni Mkazi wa jimbo la Kibamba, nilimpigia kura yangu Mh Mnyika bila hata ya kuzisikia sera zake, ni moja ya wabunge vijana niliokuwa nina imani nao sana sana hasa kutokana na michango yake bungeni (Bunge lililopita), harakazi zake za kisiasa akishirikiana na wenzake kipindi hicho kabla Chadema haijamkaribisha Lowassa.
Kiukweli toka Bunge hili jipya lilivyoanza kumekuwa na tetesi mbali mbali juu mwenendo wa Mh Mnyika kisiasa, wengine wakisema hashirikiani na wenzake kwa sababu hajamkubali EL, anataka kujitoa kwenye chama etc etc, huku yeye akiwa kimya.
Sasa basi toka tumemchagua Mnyika, hajawahi hata siku moja kuja jimboni either kutoa shukran kwa kura alizopewa, au hata kuhudhuria vikao vya madiwani, kufanya mikutano ya kisiasa jimboni, kufanya mikutano na wananchi wakamweleza kero zao ili angalau hata akazisemee Bungeni.
Mnyika ni wakati sasa wa kubadilika kama kweli anataka maisha yake ya kisiasa yaendelee, au ampishe mtu mwingine anayetaka kuwawakilisha wananchi Bungeni.
Mnyika popote ulipo, fanya shughuli za chama lakini kumbuka wananchi waliokuchagua ukawawakilishe, haututendei haki, sitaki kujuta kwa kutompa Dr Fenella Mkangara (CCM), lakini ninaamini kwa mwenendo huu watu tutaanza kujiuliza mara mbili mbili juu ya kama tulipoteza kura au la!
we ni kati ya hao niliotaja hapo juu,ukipigwa na jiwe gizani lazma ushtuke,hakuna aliye mkamilifu kama hutaki kusahihishwa we ni sawa na jiwe,tunaomtakia kheri Mnyika tunamshauri si kufanya unafiki kama wewe
ukiona binadamu hataki kupokea changamoto ujue uwezo wakw wa kufikiri na kuamua masuala au majukumu umekaribia tamati,kuw makini sana unaweza dhani unashauriana na binadamu kumbe sio yeye kuna kitu cha ziada ambacho hata yeye hakijui ni vizuri kuwaombea hawa watu wa aina hii.we ni kati ya hao niliotaja hapo juu,ukipigwa na jiwe gizani lazma ushtuke,hakuna aliye mkamilifu kama hutaki kusahihishwa we ni sawa na jiwe,tunaomtakia kheri Mnyika tunamshauri si kufanya unafiki kama wewe
Nimeandika sana kuhusu ukimya wa Myika lakini watu walidhani ni chuki binafsi. Jibu ni kwamba tulipoza kura kutokna na mihemko bila kujua kwamba jamaa amelifanyia nini jimbo lake. Nionavyo mie Mh Myika hakufanya kitu chochote hata bunge lililopita.. Huku kwetu barabara hakuna, umeme hakuna, maji hakuna, eti tuna Mbunge..
kweli kaka,ila tuwavumilie,ni kati ya binadamu ambao wanalinda masuala yao wanasahau utaifaWatu wanafanya propaganda kwenye ukweli.
Hili ndo tatizo lenu, wewe ni msemaji wa mnyika mpaka useme anaandamwa? Kwa nn hampendi wapinzani wasemwe hapo hapo mnataka kuwasema ccm? Mnyika aliboronga ubungo, huyu alotuachia ndo balaa kabisa, washukuru kufata mkumbo kuliwafanya vijana kuchaguachagua bila kufikiriSo wewe ni msemaji wa wakazi wa Kibamba mbona mnapenda sana kumuandama Mnyika bila sababu za msingi.
Watu wanafanya propaganda kwenye ukweli.
Mi nafikiri tusifikie huko ila viongozi wenzie wa Jimbo la kibamba wajitokeze wafanye kazi sio lazima yeye awepo labda kama hawana nia njema na mwenzaoMyika ni Jibu.. hakika tungekuwa na fursa walahi tungefanya pentition atoke... hatufai kabisa. yaani aondokee atuachie jimbo letu.
Acha uongo, kukopeshwa ni meya akishirikiana na DCB wala siyo mnyika, tena sio kibamba tu ni kinondoni yote,Naijua ndo maana nikakuuliza yawezekana wewe si mkazi wa Kibamba maana nakutilia shaka..hivi madawati aliyotoa Mnyika jimbo la kibamba kupitia diwani wake hukuona na kusaidia wajasiliamali waweze kukopeshwa kupitia benki ya DCB chini ya meya wa kinondoni hujaona au una mpango mkakati wa kumuondoa 2020
Umehama kutoka upanga lini?Sisi wana KIBAMBA tumemruhusu aendelee na shughuli zake
Huna haki wala hutokuja kuipata ya kuhoji makaazi yanguUmehama kutoka upanga lini?
Aisee, kwahyo kwa kipindi ambacho bunge hakuna wale tu bata? Daah hizi akili zenu hizimkuu mbunge anatuwakilisha bungeni na ukiwa unafuatilia aliwahi kuuliiza kuhusu maji na pia barabara ya mbezi - kifuru, Kwa diwani yeye anatuwakilisha pale manispaa na utakumbuka meya alisema waandike barua kuhitaji catapilar kwa ajili ya kujenga barabara.
Meya azindua ukarabati na uchongaji wa barabara Manispa ya Kinondoni
Bahati nzuri mi sijazoea mipasho ya nyinyi kina dada,wewe huwezi mshauri mnyika mana ni mtupu kichwani mana hata hoja ya mleta mada umeibeba kama ilivyo mana anadai ni Kibamba nzima tumemuelewesha baadae anakiri kuwa hajafika kwenye kata yake ya Msumi..kwa akili yako mtu asipofika kata 1 au 2 unajumuisha jimbo zima? Mana kata ya Kibamba,Kwembe..kafika sema wewe kata yako ni ipi ambayo Mnyika hajafika na siyo kuongelea Jimbo zima la kibambawe ni kati ya hao niliotaja hapo juu,ukipigwa na jiwe gizani lazma ushtuke,hakuna aliye mkamilifu kama hutaki kusahihishwa we ni sawa na jiwe,tunaomtakia kheri Mnyika tunamshauri si kufanya unafiki
kama wewe
Kuna maeneo ya malamba mawili na king`azi maji yamefikia 500 kwa ndoo!Mkuu mimi ni mpiga kura, Mnyika nimemchagua bila kushurutishwa na mtu, ni imani niliyokuwa nayo kwake, leo hii hakanyagi jimboni hata kidogo?
Wakati wa Kampeni Mnyika alipanga nyumba Mbezi, barabara ya kwenda Malamba Mawili, uchaguzi ulivyoisha tu akaondoka na hakurudi tena, unadhani tunajisikiaje? Kwa nini tu tusinung'unike? Huhitaji kuwa msemaji wa wananchi, mimi nimelalamika kama mimi.