Mnyika kalisahau jimbo lake la Kibamba

Mnyika kalisahau jimbo lake la Kibamba

Ni haw hawa mkuu walisema mnyika hatoboi ubunge tena hata kama kahamia kibamba lakini ukumbuke kibamba si lilikuwa jimbo la ubungo au? Si wananchi walewale ambao liwaongoza akiwa ubungo? Acha unafiki bro mi ni mkazi wa kibamba jamaa yuko poa tu hana shida ni mchapakazi labda cjui unayako binafsi na mh mnyika
 
Back
Top Bottom