Mnyika kalisahau jimbo lake la Kibamba

Mnyika kalisahau jimbo lake la Kibamba

Ha ha ha, naendelea kusisitiza kwamba kama kweli wewe ni mtu wake wa karibu mwambie kupotea kunapoteza kura. Habari za yeye kuwa mtu wa watu huku majukumu yake hatekelezi ni
sifuri.
Aliomba kuwawakilisha wananchi, amechaguliwa, sasa anatakiwa kuwawakilisha kweli na siyo kutega. Bahati nzuri jimbo lake
anaweza hata kulimaliza ndani ya siku mbili tu, achana na watu ambao majimbo yao yako masafa huko na bado wanahudhuria.
Afu unapomuongelea mtu kama Mnyika Usipende kusema mbona hafanyi kama Prof J au Sugu majimboni mwao kila mtu ana utaratibu wake wa kuwafikia wananchi na mnyika si mtu wa social network sana kama hao zaidizaidi utamuona twitter ndomana inakuwa vigumu kwa wewe kitu gani anakifanya
 
Atawashukuru vipi akati hawaruhusiwi kufanya mkutano wowote?
 
Mkuu huyu ni Mnyika wa Ubungo, na hii JF akiizungumzia Kibamba miaka hiyo 2010-2015.

UBUNGO Kibamba Saga: New Twist
 
Afu unapomuongelea mtu kama Mnyika Usipende kusema mbona hafanyi kama Prof J au Sugu majimboni mwao kila mtu ana utaratibu wake wa kuwafikia wananchi na mnyika si mtu wa social network sana kama hao zaidizaidi utamuona twitter ndomana inakuwa vigumu kwa wewe kitu gani anakifanya

Kama jimboni hatii mguu, na unasema hayuko kwenye social network, kwenye vyombo vya habari hayuko, anawafikiaje wananchi?

Tumfate Twitter?
 
Atawashukuru vipi akati hawaruhusiwi kufanya mkutano wowote?

Una uhakika au unamtetea tu!

Mimi sijayaandika haya kumponda Mnyika, hakuna mahali nimemponda, nimeyaandika haya kukosoa utendaji wake na kumkumbusha kufanya majukumu yake kama alivyowaomba wananchi.

Tusiwe negative kwa kila anayetukosoa.
 
Kibamba unajua ina kata ngapi? Na unauhakika kuwa kata zote hawajafanyiwa ambacho huyu analalamika?

Mkuu hili swali umemuuliza jamaa lakini naomba na mimi nikuulize hapa, ni Kata gani Mnyika ameonekana?

Unaweza kuweka picha kama zile ulizoweka za diwani wa kata ya Kibamba ambazo yupo Mnyika?
 
Mimi ni Mkazi wa jimbo la Kibamba, nilimpigia kura yangu Mh Mnyika bila hata ya kuzisikia sera zake, ni moja ya wabunge vijana niliokuwa nina imani nao sana sana hasa kutokana na michango yake bungeni (Bunge lililopita), harakazi zake za kisiasa akishirikiana na wenzake kipindi hicho kabla Chadema haijamkaribisha Lowassa.

Kiukweli toka Bunge hili jipya lilivyoanza kumekuwa na tetesi mbali mbali juu mwenendo wa Mh Mnyika kisiasa, wengine wakisema hashirikiani na wenzake kwa sababu hajamkubali EL, anataka kujitoa kwenye chama etc etc, huku yeye akiwa kimya.

Sasa basi toka tumemchagua Mnyika, hajawahi hata siku moja kuja jimboni either kutoa shukran kwa kura alizopewa, au hata kuhudhuria vikao vya madiwani, kufanya mikutano ya kisiasa jimboni, kufanya mikutano na wananchi wakamweleza kero zao ili angalau hata akazisemee Bungeni.

Mnyika ni wakati sasa wa kubadilika kama kweli anataka maisha yake ya kisiasa yaendelee, au ampishe mtu mwingine anayetaka kuwawakilisha wananchi Bungeni.

Mnyika popote ulipo, fanya shughuli za chama lakini kumbuka wananchi waliokuchagua ukawawakilishe, haututendei haki, sitaki kujuta kwa kutompa Dr Fenella Mkangara (CCM), lakini ninaamini kwa mwenendo huu watu tutaanza kujiuliza mara mbili mbili juu ya kama tulipoteza kura au la!

1. UKO SAHIHI KIONGOZI. KIJANA MNYIKA KAJISAHAU, KALEWA SIFA NK NK.

2. MAMA MKANGARA KWA KWELI TUNAJUTA KUTOKUKUCHAGUA.
LAKINI MIAKA 5 SIO MINGI TUNAOMBA UANZE SASA KUKUTANA NA WANA KIBAMBA 2020 JIMBO NI LAKO KABISA

3. KIBAMBA YA MNYIKA INAONGOZA KWA:
KUTOKUWA NA MAJI
KUWA NA BARABARA CHACHE ZA LAMI (ACHANA NA MORO RD NI YA KITAIFA)
KUWA NA MAKAZI YASIYOPIMWA AU KUTAMBULIWA

4. WATETEZI WA MBUNGE MNYIKA TUELEZENI KAZI HATA MOJA ALIYOFANIKISHA MNYIKA KWENYE JIMBO LA UBUNGO NA SASA KIBAMBA KWA SEHEMU KUBWA?

HEKO WANA KIBAMBA TUSICHAGUE TENA KWA MAZOEA NA MIHEMKO 2020 KURA KWA MAMA F. MKANGARA!!!
 
Kama jimboni hatii mguu, na unasema hayuko kwenye social network, kwenye vyombo vya habari hayuko, anawafikiaje wananchi?
Tumfate Twitter?
Sema hajafika kwenye kata yako ya Msumi hayo mengine unaongeza kupaka rangi..hao kina sugu na prof j si umeona kwenye social network zao wamepiga picha wapo kwenye jimbo Lao na wewe ndo unavyotaka..ndomana nikakwambia kila mtu ana utaratibu wake wa jinsi ya kuwafikia wananchi..usilazimishe kwa vile hajaja kwenye kata yako ya Msumi ukataka aonekane hajafika kata zote.
 
Mkuu hili swali umemuuliza jamaa lakini naomba na mimi nikuulize hapa, ni Kata gani Mnyika ameonekana?

Unaweza kuweka picha kama zile ulizoweka za diwani wa kata ya Kibamba ambazo yupo
Mnyika?
Kibamba kafika...nawe inabidi ulete picha kuhusu mambo unayoyalalamikia mana naona hapa unataka ligi na mnyika na unaonekana upo mlengo gani
 
1. UKO SAHIHI KIONGOZI. KIJANA MNYIKA KAJISAHAU, KALEWA SIFA NK NK.

2. MAMA MKANGARA KWA KWELI TUNAJUTA KUTOKUKUCHAGUA.
LAKINI MIAKA 5 SIO MINGI TUNAOMBA UANZE SASA KUKUTANA NA WANA KIBAMBA 2020 JIMBO NI LAKO KABISA

3. KIBAMBA YA MNYIKA INAONGOZA KWA:
KUTOKUWA NA MAJI
KUWA NA BARABARA CHACHE ZA LAMI (ACHANA NA MORO RD NI YA KITAIFA)
KUWA NA MAKAZI YASIYOPIMWA AU KUTAMBULIWA

4. WATETEZI WA MBUNGE MNYIKA TUELEZENI KAZI HATA MOJA ALIYOFANIKISHA MNYIKA KWENYE JIMBO LA UBUNGO NA SASA KIBAMBA KWA SEHEMU KUBWA?

HEKO WANA KIBAMBA TUSICHAGUE TENA KWA MAZOEA NA MIHEMKO 2020 KURA KWA MAMA F. MKANGARA!!!

Mkuu mimi siyo mshabiki wa chama chochote, ila ninaamini Mnyika muda bado anao wa kufanya mabadiliko.

BTW, siyo kazi ya Mbunge kuleta maji, kutengeneza barabara, kuleta umeme; kazi yake ni kuiambia serikali ifanye majukumu yake.

Mnyika hajafanya hayo, sidhani kama Mkangara atafanya hayo, CCM no!
 
Mimi ni Mkazi wa jimbo la Kibamba, nilimpigia kura yangu Mh Mnyika bila hata ya kuzisikia sera zake, ni moja ya wabunge vijana niliokuwa nina imani nao sana sana hasa kutokana na michango yake bungeni (Bunge lililopita), harakazi zake za kisiasa akishirikiana na wenzake
Sasa basi toka tumemchagua Mnyika, hajawahi hata siku moja kuja jimboni either kutoa shukran kwa kura alizopewa, au hata kuhudhuria vikao vya madiwani, kufanya mikutano ya kisiasa jimboni, kufanya mikutano na wananchi wakamweleza kero zao ili angalau hata akazisemee Bungeni.

Mnyika popote ulipo, fanya shughuli za chama lakini kumbuka wananchi waliokuchagua ukawawakilishe, haututendei haki, sitaki kujuta kwa kutompa Dr Fenella Mkangara (CCM), lakini ninaamini kwa mwenendo huu watu tutaanza kujiuliza mara mbili mbili juu ya kama tulipoteza kura au la!

Kwani Jimbo la Kibamba linaanzia wapi na kuishia wapi?, wewe ulishawahi kuwasiliana na wakazi wote wa Jimbo la Kibamba na wakakwambia Mnyika hajawahi kuja Jimboni Hata siku moja?

Wiki kama nne zimepita alikuwa jimboni (Kwembe) na alikuwa na kikao cha madiwani kilichofanyika maeneo ya Kibamba
 
Sema hajafika kwenye kata yako ya Msumi hayo mengine unaongeza kupaka rangi..hao kina sugu na prof j si umeona kwenye social network zao wamepiga picha wapo kwenye jimbo Lao na wewe ndo unavyotaka..ndomana nikakwambia kila mtu ana utaratibu wake wa jinsi ya kuwafikia wananchi..usilazimishe kwa vile hajaja kwenye kata yako ya Msumi ukataka aonekane hajafika kata zote.

Amefika kata ipi?
 
1. UKO SAHIHI KIONGOZI. KIJANA MNYIKA KAJISAHAU, KALEWA SIFA NK NK.

2. MAMA MKANGARA KWA KWELI TUNAJUTA
KUTOKUKUCHAGUA.
LAKINI MIAKA 5 SIO MINGI TUNAOMBA UANZE SASA KUKUTANA NA WANA KIBAMBA 2020 JIMBO NI LAKO KABISA

3. KIBAMBA YA MNYIKA INAONGOZA KWA:
KUTOKUWA NA MAJI
KUWA NA BARABARA CHACHE ZA LAMI
(ACHANA NA MORO RD NI YA KITAIFA)
KUWA NA MAKAZI YASIYOPIMWA AU KUTAMBULIWA
4. WATETEZI WA MBUNGE MNYIKA TUELEZENI KAZI HATA MOJA ALIYOFANIKISHA MNYIKA KWENYE JIMBO LA UBUNGO NA SASA KIBAMBA KWA SEHEMU

KUBWA?
HEKO WANA KIBAMBA TUSICHAGUE TENA KWA MAZOEA NA MIHEMKO 2020 KURA KWA MAMA F. MKANGARA!!!
Tehee unataka mnyika awajengee barabara kiwango cha Lami..ungemchagua huyo mama ako Mkangara anaesuka twende kilioni afanikishe hayo unayoyahitaji..ccm mnatapatapa sana
 
Kwani Jimbo la Kibamba linaanzia wapi na kuishia wapi?, wewe ulishawahi kuwasiliana na wakazi wote wa Jimbo la Kibamba na wakakwambia Mnyika hajawahi kuja Jimboni Hata siku moja?

Wiki kama nne zimepita alikuwa jimboni (Kwembe) na alikuwa na kikao cha madiwani kilichofanyika maeneo ya Kibamba

Mteteeni, mfikishieni ujumbe.

Nia na lengo la huu uzi ni jamaa afikishiwe ujumbe, aijue tathmini yetu juu yake, abadilike na tuwe wamoja.

Asante mkuu kwa taarifa, hizo ndo taarifa tunazitaka na.
 
Hahaa mara ya kwanza ulianza vizuri ila umejiweka wazi kuwa wewe ni mnafiki na mfitinishi
 
Mkuu mimi ni mpiga kura, Mnyika nimemchagua bila kushurutishwa na mtu, ni imani niliyokuwa nayo kwake, leo hii hakanyagi jimboni hata kidogo?

Wakati wa Kampeni Mnyika alipanga nyumba Mbezi, barabara ya kwenda Malamba Mawili, uchaguzi ulivyoisha tu akaondoka na hakurudi tena, unadhani tunajisikiaje? Kwa nini tu tusinung'unike? Huhitaji kuwa msemaji wa wananchi, mimi nimelalamika kama mimi.
ulitaka afanyeje mkuu?
 
Kibamba,kwembe...uliza jingine

Haya mkuu, naomba tu nimalize ligi hii kwa kusema kwamba hayo niliyoandika ndiyo malalamiko yetu sisi wakazi wa Jimbo la Kibamba (kwa sehemu kubwa). Kama kata ya Kibamba amefanya hayo itakuwa vizuri, ila ajue na sisi tunamhitaji, yeye pia atazihitaji kura zetu.

Tushirikiane.
 
Back
Top Bottom