Mnyika is the most brilliant lawmaker!

He is very brilliant MP. The people of Ubungo Constituency should give him another term to be their Member of Parliament. I urge Hon. Mnyika to pursue LLB from any recognized University as to prove to the community that you are the best law maker. Bravo Hon. Mnyika.
 
Baada ya Zitto aliyetarajiwa kupewa uwenyekiti 2020 ..kwa uhakika kabisa Mnyika Ndio future leader wa Upinzani nchini ......na wengine Kama Kina dogo Janja ..wenje etc
 
Baada ya Zitto aliyetarajiwa kupewa uwenyekiti 2020 ..kwa uhakika kabisa Mnyika Ndio future leader wa Upinzani nchini ......na wengine Kama Kina dogo Janja ..wenje etc
Tanzania ya kesho itakuwa salama kama fikra za vijana za kama kina: Mnyika, Zitto, Mwigulu, January, Kingwangwala, Nape, Mchambuzi, Yericko na Saanane (minus fitna zao ao wawili wa mwisho) zitakuwa ushawishi wa kutafsiri siasa kwa vijana wanaotaka kufanya siasa.

Na sio wale vijana wachache ambao bado wenye majivuno kama Ngeleja na Nyalandu.
 

Mtu anaongelea vifungu vya sheria, wewe unakuja na hoja za kupeleka bungeni ufisadi Hii ungetoa thread nyingine kabisa ili watu wachangie. Isitoshe, zitto ni msomi zaidi ya Mnyika, tuwe tunaelewa mtoa hoja nini anaongelea. yaani uko out of track, tujifunze kuelewa sio kudakia tu kiushabiki bila kujua nini kinaongelewa. Ndo mnaojibu maswali bila hata kusoma guidelines/instructions. TZ kazi ipo kutoka
 
Pamoja nakuwa Mimi huwa simchangiaji sana lakini kwenye hili naamka na kusema... Mnyika is one of the best Mbunge bungeni, mimi kama mkaazi wa Ubungo sijutii hata kidogo kumchagua yeye
 

Ni kweli mkuu,Mnyika J J hajui kitu wala hana kichwani,isipokuwa Prof Maji Marefu,Lusinde,kina Mh sana Asumpta Mshana,Nchambi mbunge wa Kishapu,Haeish wa Sumbawanga,Lameck Airo wa Rolya,Idd Azan wa Kinondoni,Zuberi Mtemnvu wa Temeke,Maria Hewa,Sanga yule Jah people,Said Nkumba,Mariam Msangi,nk hawa ndio watunga sheria wazuri sana,eti Mnyika huyu wa Ubungo,hamna kitu huyo,Makene usitumie ushabiki kaka,wote tunajua.
Tuangalieni bunge kama bunge na wala sio Futuhi.
 

zitto ni mjanja. Aliishupalia issue ya ESCROW kupumbaza watu wasione jinsi alivyowachomoa IPTL fedha ati ya "kumtibia" mama yake! Anachomoa fedha TANAPA, huku akikoroma kuhusu ubadhirifu!
 
Huo ni ukweli ambao upo wazi kabisa lazima Wananchi wabadilike nakuchagua wabunge ambao wtafanya kazi yao inavyostahili yakutunga sheria pa1 nakujitahidi sana kwa Mnyika ila amekosa sapoti.
 

Sasa kama Report ni ya PAC.why Zitto atake kuonesha kuwa yeye ndo alikuwa on top na kutaka kuuaminisha umma kuwa issue ilikuwa ni yake ?????
 

It all begins with the innerself, kama wanaweza kujiwekea own principles watashindwa vipi kuwa sehemu ya watunga na wajadili sheria za nchi? Kama wanaweza kuzitambua changomoto zinazokabili jamii zao unawezaje kwadharau kihivyo?
 
Watunga sheria wanaitwa learned brothers and Sisters huyo mnyika hata degree hana.Acha kudhalilisha fani ya wanasheria.
principally the man with topic has mentioned on Mnyika not being qualified but competent more than those who are qualified.Learn to criticize sensible affairs you should not erupt on objecting matters which are clearly identified.who has mention on Mnyika being qualified?
nadhani ni busara kuelewa hoja ya mtoa hoja sio kwakua unaweza kureply post basi ukajikuta unaandika hata mambo yasiyo na mantiki.mtuma topic kazungumzia umakini na utendaji bora wa kazi apart from Mnyika si mtu wa field husika.thats it
 

Usimtafutie matatizo bure,most brilliant?unamaanisha Mnyika ni makini Bungeni kuliko Mbowe?tafadhari sana
 
Mkuu wamemzidi elimu kivipi? kuwa na vyeti ndo kuwa na elimu? Mbona anawagalagaza kwa mbali sana? Mtake Radhi Mkh Mnyika Mkuu... Yeye huwa anasoma sana na amefanikiwa kuwa na elimu kubwa sana kuwapita wengi pale mjengoni ... hao wenye vyeti vya mwaka 47 wakati huu ambao Dunia imebadilika ni wasanii tu ...

 

Ebu tutajie hao wabunge walioleta hoja zilizofukuzisha mawaziri, usipige porojo, tutajie tu.

Pili, ebu tuonyeshe hapa hiyo report inayoonyesha wabunge na hoja zao zenye msalahi ya nchi walizozitoa bungeni, na wakamuweka Mnyika kuwa namba moja.tuwekee hapa.Tusiongee porojo, weka vithibitisho hapa.

Tatu, so unamaana Mnyika anamfunika mpaka Mbowe huko Bungeni?mtamuharibia huyu kijana, shauri yenu.Jambo kila mtu anajua Mbowe kwenye hoja bungeni ni boya lakini msifie tu kuwa ndiye makini zaidi bungeni.Fuata protokali.
 
Mnyika leo alikuwa anamwaga madini wabunge wa CCM idiotically wakawa wanapitisha miswada kwa speed ya hatari sijui walikuwa wanawahi wapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…