Mnyika is the most brilliant lawmaker!

ye lowasa anangoja kusafishiwa njia na kina mnyika tu
 
waoo Mh. Mnyika love you mingi sana yupo makini
 
@Capito

Unajua moja ya fursa unazoweza kupata kwenye search engines ni pamoja na kufanya utafiti. Kama unakiri huwezi hata ku-google kupata taarifa juu ya jambo hilo, basi omba usaidiwe.

Mkuu naheshimu mawazo yako lakini wewe ndiyo mwenye makosa, sasa mimi unaniuliza hotuba ya waziri kivuli wa nishati na madini niwe nayo ya nini?
Wewe kama uliona kuwa kwenye hiyo hotuba ndio kulikuwa na majibu ya hoja zangu basi wewe ndio ulitakiwa kufanya hiyo homework ya kuleta hiyo hotuba na kuoesha kwa vipi inajibu hoja yangu na siyo kuniambia mimi nilete hotuba!

Kama ni hotuba tu mbona zipo nyingi, hata Mh.Sugu na Lema nao wanazo!
 
Zitto nadhan tungesema enzi zake,maana kila zama na......na yeye nahisi kama kamaliza zama zake!
 
Wewe unaongelea kuandika maazimio wakati issue imefikia ukingoni?? mwanzoni wakati Kafulila anatukanwa na CAG walikuwa wapi? Kama umeelewa mada yangu ndio maana nimesema CHADEMA walidandia issue ya ESCROW katikati baada ya kugundua kuwa inaweza kuwa boost kisiasa!
Nashukuru sana post yako imesaidia kuonesha ukweli wa hoja yangu?
 
Yeye ndo anaekusanya kodi..? Mtafute Maghembe anaetoa ahadi kila siku.. Mada ya hapa ni uwezo mkubwa wa John katika kujenga hoja.. Mapimbi kuielewa hii ni ngumu sana..

Acha kutetea ushuzi!, Mbona ktk kampeni zake 2010 alitoa ahadi ya kupatikana kwa maji Ubungo nzima???....

Sasa hivi fupa limemshinda mnaanza kutumia mpira kwa maCCM,

Kujenga hoja hakusaidii kitu Kama unashindwa kutekeleza ahadi ulizo toa!

CHAGADEMA = maCCM = Hawafai kuongoza.
 

Bila shaka umeshaiona sehemu ya hotuba hiyo. Soma kwa furaha uelewe.
 
Watunga sheria wanaitwa learned brothers and Sisters huyo mnyika hata degree hana.Acha kudhalilisha fani ya wanasheria.

Jambo usilolijua ni bora kunyamaza la sivyo unashusha hadhi yako. Hao unaowazungumzia ni wanasheria na sio watunga sheria ambao ni wabunge. Nenda shule.
 
Mkuu Salary Slip nauliza tena leo kama jana, ina maana kwenye law making Mnyika yupo juu ya learned brother Tundu Lisu?
 
Mwana mpumbavu ni mzigo wa mamaye ndio hii...hujui kuwa mbunge=legislator(lawmaker)
 

Sibishani na wanaolipwa kwa kutetea uozo.. Nilishakuambia hayo yako mengine ni ya ziada..
 
Sana...nimemsikiliza leo na jana...jamaaa yuko vzr ndio wabunge tunaowataka bungeni sio kusinzia na kugonga meza kupitisha kila kitu kinachojadiliwa bingeni bila ku urge au reson!! Safi sana.
 

zito alikuwa punda ila mwenye punda alikuwa kafulila yeye ndo aliyepelekea sisi kuamka na kugundua kinachoendelea
 
Wabunge wengi ni mizigo ila jj mnyika ni kijana anahitajika sana kwa taifa hili kijana wa taifa
 
Tuna mawaziri na wabunge wasomi lakini Mnyika japo hana elimu kama wao,ame-prove to be the best lawmaker.
Hivi kwa akili zako mtu anaweza kujenga hoja zenye mshiko on current political issues bila ya kuwa msomaji wa kila siku na mfuatiliaji wa siasa.

Elimu ya shule inahusika vipi kujenga hoja za siasa za wakati? kuonyesha uwezo unatakiwa tuone creativy ya elimu uliyopata sio cheti ulichonacho na hilo swala aliwezekani kama sio msomaji wa kila siku na mfutiliaji wa changamoto zilizopo.

It makes me wonder kama tunaweza tofautisha Phd wa ukweli na tia maji maji iwapo kila mmoja atatoa cheti chake kama atuwezi jua kipimo cha elimu ni uwezo kutolea ufafanuzi jambo kwa kina, in other words perception ya myika ipo juu kuliko wengi wa wasomi wetu sio kwa bahati atakuwa ni msomaji wa kila siku. Ingawa nae saa zingine kichefuchefu huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…