Barabara zimegawanya katika makundi mawili; Kuu hizi hujengwa na serikali kuu kupitia TANROADS. na zile zile za kawaida ambazo hujengwa na halmashauri. Halmashauri huundwa na madiwani hivyo diwanianashiriki katika kupanga viapumbele na kufuatilia utekelezaji wake.....Hata hivyo sina hakika kama ulikuwa hujui au ulikuwa unaleta kejeli.hivi barabara anajenga diwani au wananchi?
and who PULL STRINGS???hivi barabara anajenga diwani au wananchi?
...Soma vizuri post, barabara zimetajwa hapo juu na palestina haijatajwa sasa ulitaka ikae sawa kivipi? Kama unaishi Sinza, na pita bararaba ya kuanzia pale kwa Remmy Azania Guest, kata na ile inayoenda Sinza Catholic church nenda hadi Lion mpaka kufika ktk Lami pale T garden. Mabadiliko yapo makubwa kwa barabara nyingi za sinza kwa upande wa Sinza C,D na E huku maieneo ya Palestina kama sikosei ni Sinza B na huku Mori, Meeda sinza A hakuna mabadiliko badoMbona miye nipo hapa Sinza Palestina mambo bado hayajakaa sawa?
Hivi unaongelea Sinza gani? Ile sinza ya kuungana na kwa Mtogore? Mbona chafu tu mifereji ya maji machafu kila kona.
Naona unampenda sana huyo diwani wa Sinza kwa Mtogore mpikie pilao takuletea na kuku wa kienyeji sawa umkaribishe aje kula[/QUOTE
Wewe ungewaacha wanaokaa sinza wakachangia na diwani wao.....dalali wako alikudanganya amekupatia chumba na sebule sinza akakuingiza choo cha kike; Hakuna sinza inayoungana na (Tandale) kwa Mtogole. Huko ni Manzese Uzuri; sinza D, inaishia daraja la mto ng'ombe pale uwanja wa TP
Hivi unaongelea Sinza gani? Ile sinza ya kuungana na kwa Mtogore? Mbona chafu tu mifereji ya maji machafu kila kona.
Naona unampenda sana huyo diwani wa Sinza kwa Mtogore mpikie pilao takuletea na kuku wa kienyeji sawa umkaribishe aje kula
Kwani kwa Mtogole ni Sinza?... diwani wa Sinza kwa Mtogore mpikie pilao takuletea na kuku wa kienyeji sawa umkaribishe aje kula
Kwani kwa Mtogole ni Sinza?
Hivi unaongelea Sinza gani? Ile sinza ya kuungana na kwa Mtogore? Mbona chafu tu mifereji ya maji machafu kila kona.
Naona unampenda sana huyo diwani wa Sinza kwa Mtogore mpikie pilao takuletea na kuku wa kienyeji sawa umkaribishe aje kula
Hahahaha..lol Diwani wa Sinza amefanya maajabu ni kama mbingu na ardhi ukilinganisha na aliyekuwepo!!!
Hii title imeniacha hoi!!