Mnyika: Diwani wa Sinza amefanya maajabu ni kama mbingu na ardhi ukilinganisha na aliyekuwepo

...Soma vizuri post, barabara zimetajwa hapo juu na palestina haijatajwa sasa ulitaka ikae sawa kivipi? Kama unaishi Sinza, na pita bararaba ya kuanzia pale kwa Remmy Azania Guest, kata na ile inayoenda Sinza Catholic church nenda hadi Lion mpaka kufika ktk Lami pale T garden. Mabadiliko yapo makubwa kwa barabara nyingi za sinza kwa upande wa Sinza C,D na E huku maieneo ya Palestina kama sikosei ni Sinza B na huku Mori, Meeda sinza A hakuna mabadiliko bado

Na pia wafahamu kuwa hata Jando lilikuwa Govi so wasije fikiri kuwa kwa Mr P kuwa Diwani ndio maendeleo Sinza yatakuja ghafla.
Ameanza na hayo aliyoyataja na sasa the sagga continua, kila kitu huenda kwa awamu.
kijana hata mwaka hajamaliza lakini mabadiliko yanaonekana.

Kazi iko kwa ndugu zetu waliokaa madarakani miaka 50 lakini nchi uharo mtupu.
 
Hongera kwa hilo lakini Mnyika amshahuri huyo diwani aache kuwadharau wananchi!

Nimesikia wakazi wanamlalamikia kuwa naye ashalewa madaraka!
 
kwanza mlevi sana kutwa kuimbwa kwenye miziki akudo...ananiudhi ka nini ntafanyaje na mimi ndo nina mahaba na chadema ntavumilia tu ..ndoa ndoano

Mr P sio mlevi.
Mlevi anaongoza Zanzibar.
Jamaa ni Mlevi mpaka bi Kidude na wajukuu zake wakamtungia wimbo wa ''AHMADA''...
 
Ritz usikurupuke.
CCM wenzako waliokaa ktk kata hiyo ya Sinza waliuza Open Space ya pale kwenye mpaka wa kwa Remmy na Mori ambapo aliinunua BigBon na kujenga kituo cha kuuza mafuta na kisha nyuma yake akajiuzia Ridhwani ambaye alijenga Ghorofa kuuubwa ambalo baada ya Dr Slaa kumtaja kwenye orodha ya mafisadi gorofa ile mpaka leo imeaimamishwa ujenzi.

SO USIKURUPUKE KUJISHAUA KUELEZA MAMBO YA SINZA YASOKUHUSU.
USHUZI WE.
 
Nani kakuambia Ritz ni CCM? kazi kukaa tu vijiweni pale Sinza madukani, unaamia vijiwe vingine vya Mori na Palestina, Lions, Deluxe, kuleta porojo tu.

Diwani mwenyewe anashida anakunywa bia tu, anatajawa kwenye Bendi za Akudo, FM Academia, Twanga pepeta.

Wakati mwingine anapiga mizinga ya bia pale Sansiro
 
Back
Top Bottom