PAMBA1
Member
- Sep 13, 2011
- 55
- 26
DIWANI WA KATA YA SINZA AMEFANYA MAAJABU AMBAYO YANAWEZA KULINGANISHWA NA MBINGU NA ARIDHI KWA MIAKA KUMI ALIYOTUMIKIA DIWANI ALIYEKUWEPO MADALAKANI MZEE SALIM MWAKIN"GINDA.AKIONGEA HAYO JANA KWENYE MKUTANO WA HADHARA ULIOFANYIKA MAENEO YA SINZA B VIWANJA VYA SEVEN UP BAADA YA DIWANI WA KATA YA SINZA KUPANDA JUKWAANI NA KUELEZA ALIYOYAFANYA TANGU ACHAGULIWE.DIWANI ALISEMA AMEKUTA UOZO WOTE UNATAJWA UPO KWENYEKATA YA SINZA AMBAO DIWANI ALIYEKUWEPO ALIKUWA AMEGEUZA KAMA DILI. ILE MILADI YA MAENDELEO ILIYOKUWA INALETWA NA HALMASHAURI YEYE ANAONGEA NA WAKANDALASI WALIOPEWA TENDA YA UTENGENEZAJI WA BARA BARA ZA NDANI WANAKULA DILI BADALA YA KUFATA KILICHOKUWEPO KWENYE BOQ YA UTENGENEZAJI WA BARABARA. YEYE ANALETA GARI LA KUKWANGUA BARABARA TU PEKE YAKE LINAKUJA KUKATA MABOMBA NA KUACHA VUMBI.akienda halmashauri anasema tayari barabara imekamilika kumbe imechakachuliwa pesa anatia mfukoni.akiongea hayo diwani alisema alikuta miradi ya utengenezaji barabara ya lion sinza na ile ya kwa lemi karibu na azania guest alisema amekuta barabara hizo zote zinawakandalasi wawili wawili kitu ambacho ni kinyume na taratibu na achilia mbali barabara hizo hazijaanza kutengenezwa pamoja na kuwa na wakandalasi hao wote.diwani alisema barabara hizo aliweza kusimamia wakandalasi watafutwe na waingie site ili kazi ianze mara moja barabara ziliwekwa kifusi na kuwekwa mtandao wa maji ya mvua ambao diwani aliyekuwepo miaka kumi iliyopita hakuwahi kuyafanya hayo hata kukosea kuweka kifusi kimoja.pamoja na hayo diwani alisema alikuta shule zote za kata ya sinza vyoo vimechakaa akakomaa mpaka sasa vyoo vinajengwa shule zote.pamoja na hayo kamanda ameibua mradi wa kulaza mabomba ya mtandao wa maji machafu SEWEGI. NAZANI MNAFAHAMU SINZA HAINA MTANDAO WA MAJI TAKA.KAULI YA MNYIKA BAABA YA HOTUBA YA DIWANI ALIFANANISHA MAMBO ALIYOYAFANYA DIWANI HUYO LIKIWEMO LA KUWA NA KITUO CHA POLISI STATION KATA YA SINZA NI KAMA MBINGU NA ARIDHI YA YALE ALIYOFANYA DIWANI ALIYEKUWEPO KWA KIPINDI CHA MIAKA KUMI IKILINGANISHWA NA HUYU ALIYEKAA MIEZI TISA SASA.