Yericko Nyerere nimependa ulivyojipanga; ili uweze kuturushia habari murua kwa kinachojiro hapo Mahakamani; kuwa makini na waliokuzunguka lkn, nakutakia kazi njema.Haahaa ondoa shaka mkuu pamoja sana!
Mkuu sijui ni nini manake ni mara chache sana kuona mambo ya mahakama yakionyeshwa kwenye runinga. huwa naona nyakati nyingine wanaonyesha michoro tu ya nini kilijiri mahakamani
Mkuu zingine? Hiyo ya OCampo niliiona ndio miongoni mwa chache. Nyingine ninayokumbuka ni ya OJ Simpson huko MArekani lakini nyingi huwa naona hata CNN wanaonyesha michoro ya picha za watuhumiwa na majaji huko mahakamani. Upo?sio mara chache nikukumbushe labda hutembelei au huangalii tv nyingine...mfano ile ya ocampo 4 ilikuwa live muda wote kupitia citizen tv na nyinginezo au hata ile ya alie ua watu sweeden scandinavia
Hawa wanaotoa updates hata hawaeleweki, imebaki watu wanatoa tu maoni yao na kupandishana hasira tu.inamaana haisomwi mbona longolongo nyingi hapa sisi tupo NAMTUMBO tunawasubiri mlio mjengoni mtwambie nini kinasomwa.
kws nn asiseme kiswahili?
Umesharudia ile kitu?