Mnyika ashinda kesi dhidi yake; Hawa Nghumbi atakiwa kulipa gharama za kesi!

ngoja na mimi nitafute lifti n ielekee huko, ila nadhani sijui kama nitawahi kufika huko, sasa hivi ni saa nne kasoro moja na kesi imeanza saa tatu, bila shaka nikifika watakuwa wamemaliza, ngoja nisubirie tu hapa matokeo
 
Ukiona polisi wachache ujue mnyika kashinda. Jaji angeomba ulinzi mkali Kama ingekuwa tofauti
 
Mimi sina wasiwasi, wakimvua ubunge tutaenda kwenye uchaguzi na kuwagaraza tena. Liwalo na liwe!!!!
 
Yericko Nyerere pendekezo jiandae kugombea ubunge ulikozaliwa au sehemu yeyote unayoona inakufaa,sababu taarifa zako nzuri.Ukinunuliwa na magamba kula fedha baki na msimamo wako wa ukombozi wa taifa hili toka kwa viwavi weusi.
 
Hivi kuna sheria NCHI hii inakataza matukio kama kuonyeshwa "live" na vyombo vyetu vya habari?

Mkuu sijui ni nini manake ni mara chache sana kuona mambo ya mahakama yakionyeshwa kwenye runinga. huwa naona nyakati nyingine wanaonyesha michoro tu ya nini kilijiri mahakamani
 
Hatimaye Mnyika abwagwa na Chandim eeh ooooh no chandema wanapoteza jimbo lingine hapa
bila shaka nape atakuwa amefurahi sana maana alikuwa analiwinda jimbo hilo CCM tushaanza mikakati
yakuwabwaga mahakamani ili mkose ruzuku
 
Kama mpaka Mbowe yupo, basi HALI ni hatari leo.... Naombea isiwe kama nilivyoaminishwa!! Cpendi KURA yangu ikataliwe na mahakama
 
Mkuu tupe taarifa kwa kila hatua maana ni muhimu sana wengine tuko mbali. Siku zote tuko na Mungu hata ktk hili bado atasimama.
 
Back
Top Bottom