Mnyika ashinda kesi dhidi yake; Hawa Nghumbi atakiwa kulipa gharama za kesi!

Tuombe kheir itawale shari, mambo yaende salama hu salimin. Tukumbuke wote wapo sawa mbele ya sharia na lolote linaweza tokea kwa yeote.

Cha kuomba ni kuwa pande zote zikubali matokeo yoyote yatakayotokea hapo mahakamani kwa kuamini kuwa mahakama ni chombo huru na kipo kutenda haki kwa jamii zenu.
 
inamaana haisomwi mbona longolongo nyingi hapa sisi tupo NAMTUMBO tunawasubiri mlio mjengoni mtwambie nini kinasomwa.
 
Mkuu sijui ni nini manake ni mara chache sana kuona mambo ya mahakama yakionyeshwa kwenye runinga. huwa naona nyakati nyingine wanaonyesha michoro tu ya nini kilijiri mahakamani


sio mara chache nikukumbushe labda hutembelei au huangalii tv nyingine...mfano ile ya ocampo 4 ilikuwa live muda wote kupitia citizen tv na nyinginezo au hata ile ya alie ua watu sweeden scandinavia

 
Edson,tunaomba ufafanuzi wa maelezo yako.Uwe muwazi una maana gani?Kamati kuu ipi?Chama kipi?Upendo yupi?
 
sio mara chache nikukumbushe labda hutembelei au huangalii tv nyingine...mfano ile ya ocampo 4 ilikuwa live muda wote kupitia citizen tv na nyinginezo au hata ile ya alie ua watu sweeden scandinavia

Mkuu zingine? Hiyo ya OCampo niliiona ndio miongoni mwa chache. Nyingine ninayokumbuka ni ya OJ Simpson huko MArekani lakini nyingi huwa naona hata CNN wanaonyesha michoro ya picha za watuhumiwa na majaji huko mahakamani. Upo?
 
Mkuu endeleeni kutuhabarisha kwani mapigo ya moyo mimi yako juu sana japokuwa mimi nina tatizo la mapigo ya moyo kushuka.
 
Kwa upande wetu sisi wa imani tunajua tutashinda kwani
sisi tuna MUNGU MWENYE NGUVU! Wao wana shetani aiye na nguvu kwa MUNGU.
 
inamaana haisomwi mbona longolongo nyingi hapa sisi tupo NAMTUMBO tunawasubiri mlio mjengoni mtwambie nini kinasomwa.
Hawa wanaotoa updates hata hawaeleweki, imebaki watu wanatoa tu maoni yao na kupandishana hasira tu.
 
Hapa naona yanatokea kama yale ya Mahanga. Naona Yericko amezimishwa simu. Yaani ameishia tu JAji kuomba samahani kwa kusoma hukumu kwa kiingereza. Ile anaanza tu kusoma yethu wangu na Yericko akaamuriwa kuzima simu yake (nadhani).
 
Wakuu nini kinaendelea mpaka sasa, mlio karibu hapo mahakama kuu dar??
 
Kumtoa Mnyika Ubungo kwa hila ni kumkaribisha Dr.Slaa a.k.a dokta wa ukweli kumwaga sumu Ubungo. Magamba watapoteza zaidi ya kuvuna katika hili. Kwanza tutashuhudia vita ya nani agombee kwa tiketi ya gambaz halafu baadaye tutaona CDM itarudi mjengoni.

Mliopo korti rum, twambieni nini chaendelea
 
Kumbe Yericko upo! Safi sana acha tusikusumbue jifiche tu utuoe habari manake inaonekana ni wewe tu uliyebaki kutuletea habari.
 
130 Reactions
Reply
Back
Top Bottom