Mnyika apewa Uchifu Mwanza na kupewa jina la Chief Malonja, ataka marekebisho ya Katiba

..inawezekana ni hasira za mama yake baada ya mzazi mwenzake kumkimbia.

..huwezi kumlaumu John kwa makosa ya wazazi wake.

..at least amewatendea haki kwa kuwakiri wote wawili hadharani.
Sema amejua kuwa hilo ni kabila kubwa haitishiwi nyau!
 
Asante sana mkuu kwa kutuwekea record sawa, ubarikiwe kwenye huu mwaka 2020
..huu ni Uchifu au Utemi wa heshima.

..kama baba yake alimkataa, kosa ni la baba siyo mtoto / John.

..Na John inaelekea amemsamehe Mzee wake na anamkubali. Angekuwa hamkubali asingejitaja kuwa yeye ni Msukuma.

..Pitia video clip Mnyika anasema babu yake ni Mikael Masalu, na baba yake mzazi ni John Michael Dalali na amelelewa ktk himaya ya Mtemi Kafipa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe huna sifa ya kunifundisha jambo lolote lile maana akili zako zinakusaidia wewe kwendea msalani
Basi tuliza akili.

Nilishajaribu kukufundisha hapa JF, lakini hujifunzi kitu.

Unapoweka mabandiko yako hapa JF usiwe na kiherehere na kurukaruka kama kuku anayenyofolewa na manyoya.

Kheri ya Mwaka Mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tazama wanapataje huo uchifu
Hivi machief kazi yao huwa nini?
Nani anawapa uchief?


Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20191229-151647.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo ndiyo tatizo la nyinyi waramba viatu, yaani mtu akiipenda cdm basi huyo ni adui wenu.
Baki hivyo hivyo na ukilaza wako. Huendi popote. Hata huko CHADEMA unakojijongeza nao watakuona mpuuzi usiekuwa na mchango wowote wa kukisaidia chama, badala yake unakitia hasara..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo ndiyo tatizo la nyinyi waramba viatu, yaani mtu akiipenda cdm basi huyo ni adui wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndio sababu nakwambia akili kichwani mwako ni kiduchu? Umeona wapi nikiwa "mramba viatu"?
Kiufupi, unayo matatizo makubwa kuliko unavyojiona mwenyewe.

Wakati mwingine husaidia ukasikiliza wengine wanakwambia nini.
 
Back
Top Bottom