Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 11,803
- 10,031
Kupigwa Mti Sio Mpaka Uvue Nguo Hata Upenua Tu Yaweza Timia.
bavicha na matusi damumdamu.........!!!!!!!!!!!!!!!
Kupigwa Mti Sio Mpaka Uvue Nguo Hata Upenua Tu Yaweza Timia.
Mnyika ni shujaa .
Mmeshaona inawanyeshea sasa mnatafuta sababu.
Mtaipata mwaka huu, tunaenda mapema tunapiga kura tunarudi majumbani mwetu kutazama matokeo tukisubiri kumuapisha Pombe.
RUCCI
Nasi Tunaomba Pia Kwa MCHANGANUO Huu Huu Mnyika Nae Pia ATUAMBIE Jinsi MCHAKATO Mzima Na MGAWANYO Wa Pesa WALIZOHONGWA Na Lowassa Na KUMUUZIA Chama Cha CHADEMA Kwa Kuanzia Mbowe, Lissu Na Yeye MNYIKA Mwenyewe Na Kama Endapo ATASHINDWA Kutoa Huo UFAFANUZI Na Sisi TUTAUTOA Hapa ILI Watanzania Waweze Kujua Kati Ya NEC Na Mnyika Na UKAWA Yake Akina Nani Ndiyo WANAFIKI Na WAONGO Wa KUTUKUKA.
Mmeshaona inawanyeshea sasa mnatafuta sababu.
Mtaipata mwaka huu, tunaenda mapema tunapiga kura tunarudi majumbani mwetu kutazama matokeo tukisubiri kumuapisha Pombe.
Kuendelea kufikiria kuwa utaibiwa kura na kujikita kwenye media tu ni ujinga maradufu sasa ni vyema muwaambie wananchi kuwa wananchi hawawaelewi kuliko kuwaandaa kisaikolojia kwa kudai kuna bao la mkono, maana kama uchaguzi ushajulikana na matokeo yapo wazi kuwa Magufuli kashinda
Mmeshaona inawanyeshea sasa mnatafuta sababu.
Mtaipata mwaka huu, tunaenda mapema tunapiga kura tunarudi majumbani mwetu kutazama matokeo tukisubiri kumuapisha Pombe.
Umeishiwa F....Cocks
Mbona naye ni wale usiowapenda Wakatoliki ww huwaita Makafiri
Mnyika: Nje ya kituo cha kupiga kura sisi wapenda Amani, tutawalinda mawakala wetu, wasirubiniwe kupokea hongo ndani ya vituo vya Uchaguzi!
Mbona unajipendekeza UKAWA?ulinde kwan wewe ukawa? Tutalinda sisi wahusika