Mnyika aongea na waandishi ngome kuu ya UKAWA, awajibu NEC

Ukawa wameanza kuweweseka mapema, hwajiamini, zile mbwembwe za ushindi saa mbili asubuhi zimekwisha maana kazi anayofanya magufuli mikoani na majimboni wameiona na hawana pa kutokea.

Kweli anafanya kazi yakupiga pushap.
 
Back
Top Bottom